Benno Malisa aishambulia vikali CHADEMA


Red haionekani mkuu! ila ujumbe umefika,hawa nyinyiemu **** kweli,vijana wameathiriwa na akili za wazee,SHAME ON MALISA
 
Amesahau ccm hakuna vijana labda ni haohao majambaz na wauwaji watawalipa kuendelea na m4k yao.
 
Malissa the Bogus Youth Wing President in the word

Huyu si ndio yule rafiki mkubwa na kipenzi cha mwanachadema JAMES OLE MILLYA???!

Naanza kumuona SHIBUDA mpya anvyotengenezwa na chadema wenyewe halafu baadae yakiwafika wataisingizia ccm.Chadema acheni style ya kuchukua makombo yaliyoapikwa na ccm,mtaendelea kulia kila siku kwa style hiyo.
 
Hivi tuwe wakweli, tulitegemea Benno aisifie chadema?

wewe si hawa wafuasi wa vinega mbona tumeshawazoea,walitumia muda mwingi kujaribu kutaka eti katibu muenezi wa ccm aeneze sera za chadema,kabla hajaikwaa nafasi ya uenezi alikua kipenzi cha wana chadema wakimwita kijana makini,nongwa ikaja alipopata uenezi wa ccm wao wakitegemea atafanya kazi za chadema,kuwa tofauti ndio ugomvi mkubwa wa kumtukana ukaanza mpaka leo hawamuachii na yeye kwa kuwa ni nunda hajali na hawaachii anaendelea kuwapulizia vuvuzela lake masikioni
 

Reading between the lines, hilo analosema malisa ndilo walilofanya ZANZIBAR na ndicho wanachotaka kufanya huko Arusha ambao imesemekana kuna vijana 3000 wamemwagwa. Kwa hiyo lisemwalo lipo dawa ni kupjipanga ili kuepusha wanachokitaka.
 
aisee.... nadhani ukisoma tena hii post hutaielewa
 

Hawa vijana wa uvccm ndio wale waliowahi kutoa tamko kuwa"raisi ajae hatatoka kaskazini"Ccm wanajua raisi ajae sasa pana haja gani ya uchaguzi?ccm wakiambiwa mapungufu Yao wanasema wanatukanwa kuna mwenye kufikiri huko kabla ya kuzungumza jambo?
 

Acha kuchachawa wewe
 

Nimeamini ukiwa Magamba akili yako inakuwa likizo
 
Unapokuwa Mwenyekiti wa vijana halafu unaongea kama Mzee unaleta utata.

Hivi UVCCM wanataka kujibu hoja zipi?Kwamba hali waliyo nayo vijana wa Taifa hili haina uhusiano na sera mbovu za chama chake?

Hivi ni jambo gani ambalo chadema wamepotosha?kwamba Serikali ya CCM imekumbatia mafisadi?

Au ni kuhusu kurekebishwa kwa sheria ya katiba? Ameshindwa kuongoza jumuiya ya Vijana ana ubavu upi wa kukabiliana na upinzani?

Tunamsubiri huku nje na Genge lake.Na kwa bahati mbaya hawathubutu kushiriki midahalo ya vijana .........
 
Uvumilivu wa Malisa ndio umefika mwisho. Sasa kwanini kuwalazimisha na vijana wengine wafanye kadiri ya uvumilivu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…