Mkuu Tume ya katiba vipi kibiriti kimeisha njiti nini? naona ile operation yenu ya kumalizia yale makanisa yaliyobakia imesimama au ndio mnasubiri upepo upiteWAPI KAITAJA CDM HAPO? huku ndio kuweweseka.
Mkuu Tume ya katiba vipi kibiriti kimeisha njiti nini? naona ile operation yenu ya kumalizia yale makanisa yaliyobakia imesimama au ndio mnasubiri upepo upite
Kaimu mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa amekishambulia kwa maneno makali chama CDM kwa madai kuwa kimekuwa kikiisakama serikali ya chama chake.
Akifungua kikao cha baraza kuu la UVCCM huko Dodoma amesema wapinzani ni wadanganyifu wakubwa na muda wao wa kutamba majukwaani umefika mwisho.Katika hali ya kushangaza Malisa aliwataka vijana baada ya kikao chao wajibu vikali mapigo ya upinzani kwa njia yoyote watakayoona inafaa kwa kile alichodai uvumilivu wake umefikia mwisho.
Source:Mwananchi
Mkuu wangu Precise pangolin , zile ni propaganda tu ili tusidai chetu, mkuu wangu hii imetengenezwa na SIRIKALI na kwa kiasi fulani wamefanikiwa ila kwa sasa tunajipanga upya. leo wametoa tamko la kuzuia mikusanyiko,mikutano na maandamano ya aina yoyote znz. sasa sijui na hiyo tume ikija zuio hilo watalisimamisha?
malisa huyoooooo
Kaimu mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa amekishambulia kwa maneno makali chama CDM kwa madai kuwa kimekuwa kikiisakama serikali ya chama chake.
Akifungua kikao cha baraza kuu la UVCCM huko Dodoma amesema wapinzani ni wadanganyifu wakubwa na muda wao wa kutamba majukwaani umefika mwisho.Katika hali ya kushangaza Malisa aliwataka vijana baada ya kikao chao wajibu vikali mapigo ya upinzani kwa njia yoyote watakayoona inafaa kwa kile alichodai uvumilivu wake umefikia mwisho.
Source:Mwananchi
Kaimu mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa amekishambulia kwa maneno makali chama CDM kwa madai kuwa kimekuwa kikiisakama serikali ya chama chake.
Akifungua kikao cha baraza kuu la UVCCM huko Dodoma amesema wapinzani ni wadanganyifu wakubwa na muda wao wa kutamba majukwaani umefika mwisho.Katika hali ya kushangaza Malisa aliwataka vijana baada ya kikao chao wajibu vikali mapigo ya upinzani kwa njia yoyote watakayoona inafaa kwa kile alichodai uvumilivu wake umefikia mwisho.
Source:Mwananchi
Hapo kwenye red: Beno Malisa anasema nini? Nji yoyote maana yake nini? Igunda wamepotea watu, Arumeru wamechinjwa, wabunge wa CHADEMA wamevamiwa huko Mwanza. Je, wananchi wa Tanzania waendelee kuamini kuwa serikali ya CCM bado inayo nia na dhamira ya kutunza amani nchini? Usalama wa raia na mali zao ukoje?