je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,880
- 3,618
Nimesikitishwa sana na hizi tozo za kila kukicha sijui hizi bank zinatafuta utajiri wa namna gani kutoka kwa wananchi wanao unga unga kila siku.
Nilikuwa tu natoa hela kwenye ATM ya bank nyingine tofauti na bank yangu ilikuwa unakatwa 2500 leo hii unakatwa 6000.bila Maelezo, Bila kufahamishwa kitu gani kimefanya gharama ya kutoa kwenye ATM kufika elfu 6 na ukizingatia bank nyingi zimejaza mjini huku mbali na mji bank hakuna kabisa hadi uende kwa wakala
Binafsi hii nchi ishakuwa ngumu kwangu hizi tozo kila siku sijui ni nani yupo nyuma yake. Kama ni Serikali basi ijue inanufaisha haya mabank ya wageni n kunyonya wananchi wake.
Nimeumia sana kukatwa elfu sita, haya ndio matumizi yangu ya siku. Mwaka 2025 mimi na Familia yangu tunaenda kusimamia vituo vya kupigia kura naona tunapandana kichwani.