Benki zimeongeza tozo tena. Hii nchi inapoelekea ni kugumu sana, wanyonge tunazidi kunyongwa

Huna akili wewe, hujui kwamba KATIBA MPYA itazuia Rais na serikali yake kuamua lolote watakalo pasipo kushirikisha Wananchi wote? Una "ilimu" gani Mkuu?
Mkuu nina PHD ya nursery
Kwani nchi gani duniani ina katiba bora! Mbona na Marekani wanapingana na katiba yao wanalalamika kwa nini Rais kapeleka jeshi nje ya nchi bila ridhaa ya wananchi, acha ujinga wewe
 
Nme shtuka jana kuangalia salio crdb wanakata elfu 3 iwe ATM au kwa wakala

Kutoa hela kwenye ATM sio kwamba ni huduma inayonufaisha mteja, hii ni service inayonufaisha benki ili ipunguze gharama ya kuwa na tellers wengi, cha ajabu benki zimefanya hii ni biashara.

Nchi nyingine kama unatoa ndani ya benki hiyo hiyo kwenye ATM zao hulipi kitu, utalipa kama umetoa zaidi ya mara kadhaa kwenye ATM ya benki tofauti (VISA). Mimi nadhani ni wakati muafaka kuwashtaki hizi benki kwenye Tume Ya Walaji.
 
Mkuu nina PHD ya nursery
Kwani nchi gani duniani ina katiba bora! Mbona na Marekani wanapingana na katiba yao wanalalamika kwa nini Rais kapeleka jeshi nje ya nchi bila ridhaa ya wananchi, acha ujinga wewe
Marekani wanatupa hovyo maiti kwenye viroba? Ficha upumbavu wako aisee.
 
Nimesikitishwa sana na hizi tozo za kila kukicha sijui hizi bank zinatafuta utajiri wa namna gani kutoka kwa wananchi wanao unga unga kila siku. Nilikuwa tu natoa hela kwenye ATM ya bank nyingine tofauti na bank yangu ilikuwa unakatwa 2500 leo hii unakatwa 6000.bila Maelezo, Bila kufahamishwa kitu gani kimefanya gharama ya kutoa kwenye ATM kufika elfu 6.na ukizingatia bank nyingi zimejaza mjini huku mbali na mji bank hakuna kabisa hadi uende kwa wakala

Binafsi hii nchi ishakuwa ngumu kwangu hizi tozo kila siku sijui ni nani yupo nyuma yake. Kama ni Serikali basi ijue inanufaisha haya mabank ya wageni n kunyonya wananchi wake. Nimeumia sana kukatwa elfu sita, haya ndio matumizi yangu ya siku. Mwaka 2025 mimi na Familia yangu tunaenda kusimamia vituo vya kupigia kura naona tunapandana kichwani

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Kwani mpaka wa Burundi umefungwa?
 
Kwani mpaka wa Burundi umefungwa?

Zakayo alitwambia tuhamie Burundi
IMG-20211202-WA0082.jpg
 
Nimesikitishwa sana na hizi tozo za kila kukicha sijui hizi bank zinatafuta utajiri wa namna gani kutoka kwa wananchi wanao unga unga kila siku. Nilikuwa tu natoa hela kwenye ATM ya bank nyingine tofauti na bank yangu ilikuwa unakatwa 2500 leo hii unakatwa 6000.bila Maelezo, Bila kufahamishwa kitu gani kimefanya gharama ya kutoa kwenye ATM kufika elfu 6.na ukizingatia bank nyingi zimejaza mjini huku mbali na mji bank hakuna kabisa hadi uende kwa wakala

Binafsi hii nchi ishakuwa ngumu kwangu hizi tozo kila siku sijui ni nani yupo nyuma yake. Kama ni Serikali basi ijue inanufaisha haya mabank ya wageni n kunyonya wananchi wake. Nimeumia sana kukatwa elfu sita, haya ndio matumizi yangu ya siku. Mwaka 2025 mimi na Familia yangu tunaenda kusimamia vituo vya kupigia kura naona tunapandana kichwani

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Ni maelekezo ya Bibi tozo
 
Mkuu hizo tozo zinawahusu wapinzani TU.

Wasiliana haraka na kiongozi yyt wa ccm jirani nawe mahali ulipo aweze kulirekebisha
 
Back
Top Bottom