maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
Wanajamvi habari za muda huu?
Jana nilikuwa nachukua bank statement, huwezi amini ukurasa moja niliambiwa 2000. Nilichoka, huu ni uwizi mkubwa jamani kuprint page moja elfu mbili nimesikitika sana.
Je, wenzangu mnaonaje?
Mwenzenu nilikuwa na page 3 imetoka elfu sita nimehuzunika sana.