Benki ya NMB Mafinga wana dharau

Six Man

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
254
892
Habari zenu wakuu.

Natumaini wote mko salama hapa. Leo nimekuja na malalamiko juu ya wafanyakazi wa benki ya NMB tawi la Mafinga mjini.

Wafanyakazi wa benki hii wanadharau sana wateja, hasa wale waliopo katika dawati la customer care.

Jana tarehe 22/1/2020 nimeenda kuchukua ATM card yangu, nikamkuta mama mmoja yupo pale, nikamwambia shida yangu. Akaniambia nisubiri. Basi nilisimama saa tatu nikisubiri achezee kompyuta yake ili anipatie kadi yangu ambayo ilikuwa kando tu na alipokuwa.

Nilisimama saa hizo na kadi sikuipata. Mwishowe nikaondoka kwa hasira.

Jamani, mpo hapo kwa ajili yetu. Sisi ndio tunaowafanya mlipwe mishahara hapo. Kama mimi ni mteja mkubwa wa benki yenu. Basi tupeni thamani yetu kama wateja.

Msitunyanyase.

Nawasilisha.

Naitwa Six Man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo dharau umezipimaje je ni wote umewafata wakakukalisha masaa 3 au.Je ni wewe pekee uliyekalishwa au ni wanna mafinga wote.Je unajua haki yako usipotendewa haki umuone nani?
Kuwatuhumu watu au kampuni kwa mapungufu ya mtu mmoja ujatenda haki
 
Habari zenu wakuu.

Natumaini wote mko salama hapa. Leo nimekuja na malalamiko juu ya wafanyakazi wa benki ya NMB tawi la Mafinga mjini.

Wafanyakazi wa benki hii wanadharau sana wateja, hasa wale waliopo katika dawati la customer care.

Jana tarehe 22/1/2020 nimeenda kuchukua ATM card yangu, nikamkuta mama mmoja yupo pale, nikamwambia shida yangu. Akaniambia nisubiri. Basi nilisimama saa tatu nikisubiri achezee kompyuta yake ili anipatie kadi yangu ambayo ilikuwa kando tu na alipokuwa.

Nilisimama saa hizo na kadi sikuipata. Mwishowe nikaondoka kwa hasira.

Jamani, mpo hapo kwa ajili yetu. Sisi ndio tunaowafanya mlipwe mishahara hapo. Kama mimi ni mteja mkubwa wa benki yenu. Basi tupeni thamani yetu kama wateja.

Msitunyanyase.

Nawasilisha.

Naitwa Six Man.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona simple tu, fungua akaunti benki pinzani hamisha mzigo wote huko, waachie benki yao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom