The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
- Thread starter
- #141
Unaelewa Lina shoot kwa sababu zipi? Na kwa nini li shoot within very short period of time?sasa kama mwenda zake kaacha deni la taifa ni trilion 56 na sasa hivi dwni limefikia trilio 70 maana yake si lime shoot kwa trilion 14?
sasa hapo aliyeliyelipandisha mpaka kufikia trilion 70 ni nani kama sio yeye?
nina vidwo ya halima mdee hapa yaani hilo no deni la nje, ukiswma ujumlishe na madeni ya ndani jumla tanzania inadaiwa trilion 85
sasa ebu fikiria, 85 trilion hamuon kama ni pesa mingi sana?
natamani sana niwawekee video ya halima mdee hapa ila sasa video ina upload taratibu sana nilikuwa naijaribu kuituma tena hapa lakin ipo slow
ila deni lote kwa ujumla ndani na nke ni trilion 85