Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,519
- 3,474
Tuendelee kula mtori tu nyama tutazikuta chini... waziri wa fedha Mwigulu, waziri wa Nishati Makamba...mama anaupiga mwingiiiii.
Is that what the article says ?, Its says the problem was made worse by the impact on tourism but that does not mean its the only factor...I beg to differ.
The problem am seeing is that most people read the attached Citizen paper for posthaste comments not to understand the basics.
Let's face it; the debt distress named in the paper isn't because SSH is seeking for more loans but rather due to Covid-19 that tremendously impacted tourism sector hence derailed debt payoff.
Do those collateral grow on trees ?, If our forefathers had the same mentality we would have found nothing of ours to bargain with....Any country with massive financial collaterals like we do would risk to secure additional loans to get development into right pathways.
My distrust, though lies within the ccm's corrupt systems.
Ukipita Jf ndo utaamini kwamba Watz wengi hawana shule, home of great thinkers ila ukiangalia michango unabaki na maswali.wapo watu wameongea sana juu ya hili swala la kukopa kopa ovyo lakini ikaonekana kama shule yao no ndogo sana na hivyo hoja zao hazina mashiko tuendeleeni tu kujifukiza ila time will tell
Kwan jiwe alitawala bila Bunge???Hakuna mkopo wa kinyemela kwa SSH,mikopo ya kinyemela ilichujukiwa na Jiwe na ndio hii inaleta shida.
Mikopo inapitishwa Bungeni na inaridhiwa na Bunge, Serikali ya SSH hawakopi Nje ya bajeti.
Soma vizuri hivyo vitambulisho hapo chini 👇Sio kweli, naomba ulete kipande Cha sehemu ya bajeti kinachosena ni trillion 10.
Kwenye bajeti hakuna wanaposema kakope kasi fulani. Wewe hapo unamaanisha kwenye bajeti wamesema tukope trillion 10 kwa mwaka, hivyo naomba hiyo sehemu kweye bajeti inayosema hivyo
Hakulishirikisha Bunge.Kwan jiwe alitawala bila Bunge???
🚮🚮Maza anaupiga mwingi, rubbish
hakuna anayepotosha ila huo ndio uhalisia, mama anakopa sana maranyingi tukiongea tunaonekana kama mazuzu kwasababu tu shule zetu ndogoHaina haja ya kupotosha,hiyo debt stress haitokani na mikopo ya Samia bali mikopo ya Mwendazake aliyochukua kwa riba kubwa na mda mfupi, yaani mikopo ya kibiashara ndiyo imewahi kuiva.
Sukuma gang hamna cha kujitetea ,nyie ndio mumetufikisha hapa.Kuna hotuba fulani Samia aliwahi zungumzia hili la debt stress kwamba Mwigulu alimpigia simu usiku kumwambia kwamba mikopo imeiva inatakiwa kurudishwa.
Wacha porojo wewe,angetoa wapi za kununuliwa watu mpaka madaftari,afya bure...Tanzania ndiyo nchi iliyopkea misaada kuliko yoyote kipindi chake,Yale madeni akisema halipi alikopa Nani,Kama alikopa ni kweli hayakuwekwa kwenye bajeti au hukusikia!?...Kama hakuwa mkopaji mbona aling'atuka baada ya kutakiwa kufanya SAP 1&2!?...muungano wenyewe us &uk wanadai wao,Soviet nao wanasema waoUmezaliwa mwaka 2000 na kulishwa crap mbalimbali za kumchukia Nyerere, ndiyo maana unafikiria kutoka kwenye "makabrasha." Mimi nimekulia ndani ya utawala wa Nyerere na ninaju nchi ilivyoenedshwa wakati wa utawala wake pamoja na siasa zake za ujamaa na kujitegemea; sikusimuliwa au kusoma kwenye makbrasha kama wewe.
Hakuna sehemu alikosema serikali iskubali misaada, bali alisema serikali haiwezi kujiendesha kwa kutegemea misaada na mikopo. Misaada yote aliyopewa Nyerere ilikuwa inakwenda moja kwa moja kule kulikokusudiwa na watoa misaada hiyo, haikuwa sehemu ya bajeti ya serikali. Hakukuwa na bajeti ya Jamal au ya Mtei au ya Msuya iliyokuwa na kipande kinachosema bajeti ya "serikali itakuwa kiasi kadhaa, kiasi kadhaa tutakusanya mapato ya ndani, na kiasi kadhaa tutategemea misaada na mikopo kutoka kwa wahisani." Kama hujui kwa nini Nyerere hakutaka kutegemea serikali misaada soma historia iliyoepelekea kuvunjika kwa uhusiano kati ya Tanzania na Marekani mwaka 1965 na kuvunjika kwa uhusiani kati ya Tanzania na Ujerumani mwaka 1964 baada ya Muungano.
sasa kama mwenda zake kaacha deni la taifa ni trilion 56 na sasa hivi dwni limefikia trilio 70 maana yake si lime shoot kwa trilion 14?
Unashindwa kuelewa tofauti ya kupokea misaada na kutegemea misaada. Arguments zako nyingi ni za kuhisi na kuambiwa tu, hazina ukweli wowote, na mostly unakuza sanaevents za baada ya vita na kuzifanya kama vile ndiyo ilikuwa maisha ya Tanzania miaka yote hiyo.Wacha porojo wewe,angetoa wapi za kununuliwa watu mpaka madaftari,afya bure...Tanzania ndiyo nchi iliyopkea misaada kuliko yoyote kipindi chake,Yale madeni akisema halipi alikopa Nani,Kama alikopa ni kweli hayakuwekwa kwenye bajeti au hukusikia!?...Kama hakuwa mkopaji mbona aling'atuka baada ya kutakiwa kufanya SAP 1&2!?...muungano wenyewe us &uk wanadai wao,Soviet nao wanasema wao
Kama huu unaoendelea.Kukopa kopa hovyo ndio kukoje?
Amesema msiogope kwa kuwa hakuna atakayefwatwa nyumbani kwake kudaiwa!WB waongee na Kiongozi wetu Milugwu kwanza maana hakosagi cha kujibu yule.
Thread closed.Tunajua tu kibaya anapewa Magufuli,kizuri anapewa Samia lakini sisi Watanganyika tumeisha kuwa na akili za kupambanua kati ya pumba na mchele.WB sio wajinga kiasi hicho, mbona hatujawai kusikia wanatoa ilo onyo Wakati wa Magufuli?tena pamoja na kukopa hayo mabenki watangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati, Magufuli alokopa kwa akili na akaweza kwenye miundombinu ya kunyanyua uchumi na alijitaidi kiziba mianya mingi ya uvujaji wa mapato, Sasahivi Samia kaisha kopa matrillion ya shilingi hayaonekani yamefanya Kazi gani, sanasana tunaambiwa yamejenga madalasa tu kitu ambocho ni ujinga mtupu, kukopa trion eti kwa ajili ya vyumba vya madarasa, Wakati hiyo kazi ni kazi za wakuu wa mikoa na wilaya,kitu ambacho kilifanywa na Magufuli alijenga vituo vya afya,masoko,na hayo madalasa, nakumbuka wakati Magufuli anachukua madaraka alikuta tatizo la madawati na upungufu wa vitanda Muhimbili na maospital mengine, atukuona akienda kukopa alipiga mkwala watendaji Wake hayo matatizo yakawa historia,Samia wenu anakopa matrillion alafu anazimalizia kwenye safari, Tanzania atuwezi piga hatua chini ya Samia, kama hatabadirika,Kama unabisha subiri uone amalize miaka ya mimne ya uongozi,
Msiogope, mtasamehewa madeni kama mlivyosamehewa enzi zile za Kikwete mkishaonyesha mnafanya economic reforms za IMF na World Bank.
Umefanyaje?Kama huu unaoendelea.