Mimi natumia vya nyumbani Mkuu.Bado unatumia Bank za local
Tumia Foreign Bank
Mimi natumia vya nyumbani Mkuu.Bado unatumia Bank za local
Tumia Foreign Bank
Weka dark mode uone inavyokuwa vizuriHapana, ile rangi ambayo ni nyeupe na kuna sehemu inaonekana faint, inaondoa kabisa mvuto wa hii App yao.
Mkuu sitaki kutokuheshimu mawazo yako, lakini kama unataka best App ya kibenki basi tumia ya CRDB kwakweli ni the best banking mobile application.
#Kudos CRDB.