petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 900
- 345
wewe andika uzuri basi mbona km umepost ukiwa juu ya bodaboda unakimbiaWatu wanaosadikiwa majambazi wauwa mbagala walipokuwa walipomaliza kupora katika benki ya Access tawi la mbagala na kuna taarifa kwamba walipotupa mabomu
mi nimeona maiti 3 kwa taarifa zaidi tutajulishana.
Mkuu tafadhali Acha kukimbia pata maji utulie uilete hii habar vizur. Tunakusubir[/QUOT
Polisi wamekosea sana kuwapiga hao majambazi hapo kwenye macho ya watu wengi. Wangewachukua kirafiki tu kisha jioni wanaenda nao kwenye msitu wa mabwepande, maiti wanapeleka mutually au baharini.!
!
Kwa nini wanawapiga sasa? Si washawakamata fujo za nini? Askari wafanye kazi yao hiyo ya kuwahukumu waiachie mahakama. Hao ni watuhumiwa tu mpaka mda huu bado hawajawa majambazi wa kutumia silaha. Waache vyombo vingine vifanye kazi zao.
FALA WE!

Wewe unazingua sasaPoint of correction!
Niwaombe samahani sana kwa kuwapa taarifa za nilichokiona muda si mrefu.
Wakati nikawa hapa ofisi naandika msg, nimesikia makelele kwa nje, nikatoka mpaka barabarani rangi 3 round about! Sijaamini nilichokiona, wale majambazi wamekamatwa, askari wanawapiga, huku raia wanashangilia. Ilipita helkopter ya polisi muda kidogo, ndio imesaidia kuwakamata wote. Hawa majambazi walikuwa wamejipanga, kumbe walitega mpaka mabomu, askari wanaogopa kuyafuata ili wayategue. Hatari
Hongera kwa jeshi la polisi, leo wamenitoa kimasomaso.
NB: Watu wawili wameuwa, na fedha walibeba na viroba.
Waliouawa ni Nani?? Askari au majambazi??Point of correction!
Niwaombe samahani sana kwa kuwapa taarifa za nilichokiona muda si mrefu.
Wakati nikawa hapa ofisi naandika msg, nimesikia makelele kwa nje, nikatoka mpaka barabarani rangi 3 round about! Sijaamini nilichokiona, wale majambazi wamekamatwa, askari wanawapiga, huku raia wanashangilia. Ilipita helkopter ya polisi muda kidogo, ndio imesaidia kuwakamata wote. Hawa majambazi walikuwa wamejipanga, kumbe walitega mpaka mabomu, askari wanaogopa kuyafuata ili wayategue. Hatari
Hongera kwa jeshi la polisi, leo wamenitoa kimasomaso.
NB: Watu wawili wameuwa, na fedha walibeba na viroba.
Hakuna askari aliyeuwawa. na ni watu waliokuwa around bank!Waliouawa ni Nani?? Askari au majambazi??
Mbona hakuna mwananchi aliyepoteza maisha?Nasikitika kwa sababu kuna wananchi wasio na hatia wamepoteza maisha yao. Poleni wafiwa (lakini sio wafiwa wa majambazi)
Soma Maelezo ya Uzi vizuri mkuuMbona hakuna mwananchi aliyepoteza maisha?
Niliye muuliza amejibu sasa cjui wewe unawashwa na nini.Tukupe kamera uende ukapige picha?
Labda tumuulize..mtu dk chache zilizopita alikua anajaribu kukuua kwa risasi,ukimkamata utamkumbatia na kumpongeza???FALA WE