Benki Kuu ya Tanzania wazungumzia madai ya kuwasili kwa mabilioni ya Dkt. Shika

Ngoja nijichekee tu ila.. Huyu mzee wasipokuwa nae makini panaweza kuwa na mission yoyote hapo inajengwa ila ipo siku uwazi utapanuka.
 
mzee anatapeliwa watu wanamuacha ki ukweli hizo hela hazipo hapo anapigwa dollar 200 tena
 
Lakini huyu mzee kuna ukweli flan ambao small mind haiezi muelewa. Me naamin kwamba tutaelewana mdogomdogo tu
mkuu hakuna kitu kama hicho ungekuwa smart ungejua huyu mzee anapigwa hebu google hilo jina la mtumaji wa pesa utagundua ni scammer maarufu tu only small mind wanaukubali uongo huu.
 
Hyo shika ni muhuni anacheza na akili za watu,tangu lini hela kiasi hicho kikapitia airport tena Cash kama milioni kumi tu sheria ya benk inakataa.
Pesa huweza kupita ikiwa ni kwa cargo/parcel na sio kwa kubeba mzigo wote inperson
 
Halfu inaonyesha hata Dr Shika mwenyewe kaingizwa mkenge. Japokuwa akili nazo zimedata lakini haya anayofanya anafanya akiamini kuwa ni kweli watamtumia fedha. Nakumbuka siku za nyuma alipiga picha akiwa posta eti anatuma ''ada'' ili aletewe fedha. Sasa haya ma-document waliyomtumia inaonyesha wanataka kumtoa tena fedha nyingine kwa kisingizio cha fee ya fedha alizotumiwa. Na serikali ipo inaangalia mtu mwenye ugonjwa wa akili akilifanyiwa utapeli wa namna hii. Hata hao ma-agent anaotumia kutuma fedha nadhani ilitakiwa wamkatalie.
Kuna ka ukweli.
 
Back
Top Bottom