Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

Huu mpango wa kuwashirikisha hawa wanajeshi ipo
siku na wao watanogewa na kazi za kijamii
 
Kazi Za Jeshi Ni Zipi Na za Polisi Ni Zipi?
 
Nonsense!
 
Wewe mbona huelewi? In short kwa sasa Tanzania hakuna bureau de change. Ukitaka hiyo huduma nenda minara pacha.
mimi naona vizuri tu uzuri minara pacha ina matawi ! fedha haram lazima zitaisha !pini lingine linakuja
 
Jeshi, polisi, magereza, TISS, Mgambo, Uhamiaji na Zimamoto, vyote ni vyombo vya dola kwa maslahi mapana ya nchi. Polisi wanahongeka kiurahisi na kuvujisha siri, Vita vya kiuchumi vinahitaji askari wazalendo na wazalendo wetu ndio hao JWTZ, iwe Tanzanite, korosho au dola, wahahitajika sana
 
Duuuh kazi kweli kweli
 
Mmh reserved polisi wako wapi? Mgambo je?
 
Professional rubish
 
ccm walifanya majaribio ya kukabidhi nchi ila mi simlaumu jiwe sana hii ni kikwete kuyaacha makundi ndani ya chama hizi ndizo athari zake.
kweli mkuu umenena vyema kabisa hongera sana kwa kuona hilo point ya msingi kabisa! mtandao wa mzee wa msoga na jasus yule wa mtama na friend of yule aliyesema akishindwa anaenda kuchunga ngo'mbe hawa ndio wanaofanya haya kwa sabab haikuwa chaguo lao makundi hayo ndiyo yanamsumbua jpm ambaye hakuwa na mtandao wowote ndani ya chama
 
Mitaarifa isiyo na tarehe could be revoked anytime in tz, utasikia sio tamko letu, wameghushi
 
hahaha..kwamba kakataa maswali..duuh...sasa kwa nn aliamua kuita press...?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…