Benki gani inatoa fixed deposit rate zaidi ya 15%?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,336
5,571
Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?

Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5

Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.

Natangaluza shukrani
 
Wadau..ninakampunga kama 220 M ni wapi naweza kafix Kwa ziadi ya asilimia 15.p annum.
Nimecheck
Utt ni Kati ya 12 Hadi 14
Nmb 7
CRDB 7
Access bank 14.5
Finca 14.5
Je benk gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16pct..nata kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.
Natangaluza shukrani

Achana na %....

The best way chukua fixed deposit breakdown ya hizo banks & financial services, je ukiweka kwa mwaka faida ni sh ngapi kwa kila moja in figures, then yenye figure kubwa kama faida go for it, achana kabisa na % ni uongo mtupu..

Finca hao sijui 14%, uongo, kama huamini, waombe wakupe fixed deposit breakdown ya faida in figures per year, alafu compare hata na faida ya CRDB per year yenye 7%, ndio utashangaa..

Watu wengi wasiojua hesabu hizi rahisi, utasikia eti ni % ngapi? Hata hawajui hapo wanapigwa vibaya, wee angalia amount in figures ngapi unapata per six month or year, alafu fanya maamuzi. The same applies to loan.. Check loan breakdown unalipa sh. ngapi at the end of loan period, sio %..
 
Achana na %....

The best way chukua breakdown wa hizo banks & financial services, je ikiweka kwa mwaka faida ni sh ngapi kwa kila moja in figures, then yenye figure kubwa kama faida go for it, achana kabisa na % ni uongo mtupu..

Finca hao sijui 14%, uongo, kama huamini, waombe wakupe breakdown ya faida in figures per year, alafu compare hata na faida ya CRDB per year yenye 7%, ndio utashangaa..

Watu wengi wasiojua hesabu hizi rahisi, utasikia eti ni % ngapi? Hata hawajui hapo wanapigwa vibaya, wee angalia amount in figures ngapi unapata per six month or year, alafu fanya maamuzi.
Ni eishafanya analysis,, asilimia husika ni Kweli siyo uwongo .Ila natafuta pazuri zaidi.
 
Wadau..ninakampunga kama 220 M ni wapi naweza kafix Kwa ziadi ya asilimia 15.p annum.
Nimecheck
Utt ni Kati ya 12 Hadi 14
Nmb 7
CRDB 7
Access bank 14.5
Finca 14.5
Je benk gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16pct..nata kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.
Natangaluza shukrani
Mkuu hizo 220 M ni hela zako kweli halali ama ni zile ziko kwenye ripoti ya CAG?
 
Kati ya hizo nakushauri kabla hujaweka chukua 5m tu wekeza QZ asset management halafu baada ya siku 50 Fanya maamuzi yako mengine.
I guarantee.
Qz asset ndo watu gani na wanashughulika nannini
 
Back
Top Bottom