Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

Me naona haina haja ya kulaum uislam kwa k uchoma moto makanisa coz kwenye misafu yao hakuna mahali palipo andikwa wachome makanisa mi naona ni janja ya kina ponda,farid etc
 
Me naona haina haja ya kulaum uislam kwa k uchoma moto makanisa coz kwenye misafu yao hakuna mahali palipo andikwa wachome makanisa mi naona ni janja ya kina ponda,farid etc

Na vipi waislamu wanapokuja juu Ponda anapolaumiwa?
 
Jibu hoja acha viroja.


 



Well said mkuu,ukiangalia zile scene za kariakoo huoni waislam tunaowajua bali wahuni tu ambao hata kueleza agenda iliyowapeleka pale ni utata. Mungu ibariki TZ.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ikumbukwe nchi yetu haina din ila watu ndo tunadi na uhuru wa kuabudu, naamin inapotokea tatizo ndan ya kundi la waislam viongoz wao wangekua mstari wa mbele kuwakanya na kutafuta suluh ya matatizo. Vurugu za mbagala zilifumbiwa macho na viongoz wa juu wa kiislam na serikal matokeo yake vurug zimeanza kushika kasi bara (kkoo) adi visiwan znzb. swali la kujiuliza je viongz wa kiislam ngaz ya mkoa (Dar) na Taifa wameshindwa kutatua vurugu hizi? Serikal ik wap wakat tuiipatia dhaman ya kulinda watu na mal zao?
 
Ndg zetu waislam nawataka kueni na subra ktk kutafuta suluh vurug zinazid kuwashusha ata km zinafanywa na waislam wachache wajinga na wapumbavu
 
Mkapa aliweza kutofautisha DINI na UHUNI.Huyu ****** wetu huyuu..!we mwache tu!anashindwa kutofautisha IKULU na BILICANAS!
 
aisee yaani katika mapito yangu ya maisha mashuleni mpaka vyuoni marafiki zangu wengi walikuwa waislamu, tulichukuliana poa tu. Lakini sasa inabidi niangalie upya urafiki wetu. Kumbee jamaazangu hawa mda wowote wanaweza kata shingo yangu!!!!!?
Yaani wanawachukia wakristo halafu wanajifanya marafiki zangu wakati na mimi ni mkristo?

Inamaana akitokea mwendaazimu mmoja wa kiislamu akachana ama kukojolea Biblia na wakristo wachome misikiti yooote! Namna hii tutaishi kweli jamani?
 
In this world muslims have failed to identify their real enemy, what do the buildings have to do we the urination on the quran? I7 the the love/command of your Allah that "kill". This is likely to resemble the "LUDISM"

absolutely correct(luddism in nature),na luddism ili fail sasa sijui wao watafanikiwa vipi ikiwa they dont know whom are they facing as their real enemy.
 
ni ajabu kwamba, watu wanajifanya wanampigania mungu na kitabu kitukufu, lakini wakati huo huo wanachoma makanisa na kuiba mali za kanisa. wengi wao wamekutwa na vyombo vya muziki, viti, computer na meza za kanisa wamepeleka home kutumia...kama wana shida sana si watuombe ili tupige harambee ya sadaka tuwanunulie tu, au wanatuoneea wivu
 
lazima mtamkumbuka mkapa kwa sababu kama ni kuwaua waislamu basi aliwaua sana halafu kitu ninachojifunza hapa ni kwamba makafiri wa kikristo mnapenda kuona waislamu wakinyanyaswa basi na hata hiyo 2015 akipatikana rais kafiri mapambano yataendelea tu

Sheikh Maulid Bin Kafiir (Daniel), kutokana na upeo wako juu ya mgogoro unaoendelea hivi sasa hapa tanzania, tafadhali naomba uniambie ni nini haswa mnachokipigania. Na mnanyanyaswa kivipi? Maana kama ni shule kila mmoja wetu aliweza kusoma bure enzi za Nyerere, wazazi wenu kutokana na ignorance yao waliona shule haina umuhimu katika maisha yenu bali madrasat. Sasa unataka uajiliwe serikalini kwa kujuwa Quran tu? Na nani atakaye kuajili wewe kwa elimu ya Mohammed na wafuasi wake? Jamani, rudini shule mtoe matongotongo japo hata kidogo
 

Sheikh maulid bin kafiri''''!!!! Nimeipenda hiyo
 
Nani amkumbuke mkapa tubuthu. mafisadi ndo wanaomkumbuka! KANISAIDIA NINI KWENYE MAISHA YANGU, mshenzi tu huyo LIGAIDI LA UFISADI!!!
 
Nae angekuwa amekufa kama Nyerere tungetamani arudi..... au kusema RIP Mkapa..ukweli utabaki kuwa ukweli... kuna mengi aliweza kuliko mwenzetu wa sasa.
 

Wewe huna akili kabisa
 
Haya ni maneno ya Rais mstaafu Benjamin W Mkapa. Wakati akitoa kauli hii watanzania wengi hawakujuwa mh anamanisha nini ila leo tuna mkumbuka,hali ngumu kwa watanzania,uchumi umeshuka,tsh ipo chini na usalama ndio kabisa kitendawili nilazima tumkumbuke jemedari huyu na amiri jeshi mkuu wa tanzania mstaafu alie fanya kaz ucku na mchana kuinua uchumi wa taifa hili niliwah kusema J. Kikwete mara nying anamuota huyu jamaa na huwa hapati ucngiz anapo muota che mkapa. Shime Mzee mkapa na Mungu akuangazie. Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…