Tell me dear friend, serikali ikipambana na mtu anayehamasisha watu kuvamia viwanja vya watu na kuvunja uzio kisha kusimama majukwaani na kusema this is the way, itakuwa inapambana na Uislamu au na ujambazi wa kutumia silaha?
Ni haki ya watu fulani kuvunja makanisa na kuyachoma moto?
Kwahiyo wataka kusema kiongozi shupavu ni yule anaepambana vyema na waislam! kwa taarifa yako hii chembe ndogo ya amani iliyopo sasa hivi ni kwa sababu Rais amekuwa na busara sana katika kuyaendea haya mambo, kama ni wakati wa mkapa nadhani nusu ya watanzania wangeshapoteza maisha kwa vita za kidini, na wala asije akatokea kiongozi yeyote wa nchi hii akasema anapambana na wa waislam atakua ameharibu nchi, atafute jina jengine la maadui zake lakini si uislam na waislam, hapo ndipo kwenye shida. atakae kuwa hai atajionea mwenyewe, mimi naitakia kheri nchi yetu kila siku....
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!
Hata mimi sikusema dini ya mtu, nilizungumzia Ponda na UAMSHO.
Namjua Ponda kwa uchochezi wake na si kwa dini yake. Hayo ya dini ya Ponda mimi sijayasema.
Naijua UAMSHO kwa kadhia iliyofanya Zanzibar na sio kwa dini yake.
Wewe umerukia kwenye dini kwa kuwa ndio silaha ya watu wajinga. Facts kwao hazina maana zaidi ya imani. Ukifuata facts utakubaliana na mm kuwa Ponda ni mpumbavu na ndio maana anaamini kuwa haki yake ataipata kwa mnunuzi badala ya aliyeuza.
Kuhusu wasomi, huo ni upuuzi mkubwa mkuu. Jambo lililofanyika haliwezi kamwe kufanywa na mtu mwenye elimu nyingine zaidi ya ile aliyonayo Ponda. Hebu niambie ikiwa unaamini yule Dr. Twalib Ngoma anaweza kwenda na kundi la watu kudai mali ya waislamu ambayo tayari imeshauzwa?
Hata wewe ni mjinga, nitakwambia kwa nini. Kama unadhani kuna wasomi wa imani kama yako, mbona usijiulize kwa nini wao hawashiriki mambo yale aliyofanya Ponda kama si kwa sababu ni mambo ya kijinga?
Wote walioko pale na walioshiriki vurugu hizi ni vijana waliofeli maisha baada ya kuzaliwa wengi kwa mzazi mmoja kiasi resources hazikutosha kuwaendeleza, wamama waliokata tamaa ya maisha na wanazuoni wa madrasa ambao madarsa ya elimu ya magharibi yamewaacha, kama alivyo Ponda mwenyewe.
Sidhani mtu na PhD unayoisema anaweza kuvaa suruali fupi. Atajiuliza tu maswali madogo; nivae suruali ichafuke mguu ubakie safi au nivae fupi isichafuke lkn mguu ujae vumbi.
Mwenye PhD anajua kuwa ukimpa Juma mali akulindie, Juma akaiuza kwa Jabiri basi unayetakiwa kumdai ni Juma na sio kwenda kumfanyia fujo Jabiri.
Kutetea ujinga hakuwezi kufanywa na mtu mwenye akili
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!
Hata mimi sikusema dini ya mtu, nilizungumzia Ponda na UAMSHO.
Namjua Ponda kwa uchochezi wake na si kwa dini yake. Hayo ya dini ya Ponda mimi sijayasema.
Naijua UAMSHO kwa kadhia iliyofanya Zanzibar na sio kwa dini yake.
Wewe umerukia kwenye dini kwa kuwa ndio silaha ya watu wajinga. Facts kwao hazina maana zaidi ya imani. Ukifuata facts utakubaliana na mm kuwa Ponda ni mpumbavu na ndio maana anaamini kuwa haki yake ataipata kwa mnunuzi badala ya aliyeuza.
Kuhusu wasomi, huo ni upuuzi mkubwa mkuu. Jambo lililofanyika haliwezi kamwe kufanywa na mtu mwenye elimu nyingine zaidi ya ile aliyonayo Ponda. Hebu niambie ikiwa unaamini yule Dr. Twalib Ngoma anaweza kwenda na kundi la watu kudai mali ya waislamu ambayo tayari imeshauzwa?
Hata wewe ni mjinga, nitakwambia kwa nini. Kama unadhani kuna wasomi wa imani kama yako, mbona usijiulize kwa nini wao hawashiriki mambo yale aliyofanya Ponda kama si kwa sababu ni mambo ya kijinga?
Wote walioko pale na walioshiriki vurugu hizi ni vijana waliofeli maisha baada ya kuzaliwa wengi kwa mzazi mmoja kiasi resources hazikutosha kuwaendeleza, wamama waliokata tamaa ya maisha na wanazuoni wa madrasa ambao madarsa ya elimu ya magharibi yamewaacha, kama alivyo Ponda mwenyewe.
Sidhani mtu na PhD unayoisema anaweza kuvaa suruali fupi. Atajiuliza tu maswali madogo; nivae suruali ichafuke mguu ubakie safi au nivae fupi isichafuke lkn mguu ujae vumbi.
Mwenye PhD anajua kuwa ukimpa Juma mali akulindie, Juma akaiuza kwa Jabiri basi unayetakiwa kumdai ni Juma na sio kwenda kumfanyia fujo Jabiri.
Kutetea ujinga hakuwezi kufanywa na mtu mwenye akili
Akiondoka madarakani, Rais Benjamin Mkapa alisema maneno ambayo pengine tuliyaona ya 'kizaramo' sana na hatukuyatilia maanani, lkn naamini sasa yamepata maana akilini mwetu; MTANIKUMBUKA!
Naamini kuwa si Ponda wala UAMSHO wangekuwa na jeuri ya kuipa Serikali ULTIMATUM kwa mambo ambayo sheria na taratibu za nchi zinaelekeza vyema yafanyikaje. Hapa pia namkumbuka Mkapa.
Binafsi naamini Ponda na Uamsho wasingefanya wanavyofanya endapo nchi hii ingekuwa haiongozwi Ki-ubwana Yakhe. Kwa hili nitamkumbuka Mkapa.
Ni imani yangu yapo mengi tu ambayo kwayo Mkapa atakumbukwa. Mazuri kwa mabaya lkn yeto juu ya yote, TUNAMKUMBUKA.
Hali ya sintofahamu juu ya amani ya nchi yetu ni sababu nyingine itanifanya nimkumbuke Rais Mkapa. Naamini kama Mkapa angekuwa magogoni, yule mjane wa Malawi asingetutukana tukicheka na kutabasamu.
Dharau sasa zinatoka nje na ndani ya nchi. Tunadharauliwa hadi na wamama wajane wasio na waume, watu wasioenda shule na magaidi wadogo wadogo wa visiwani.
Mungu umeibariki Tanzania tangu umbiko lake, lkn mbona sasa umeitupa?
Mkapa alikuwa na maamuzi huwezi mfananisha na BABA RIZ anayewaza kuwaweka watoto na vimada wake madarakani

Siyo kupambana na uislam bali kupambana na Hooliganism. uislam gani wa kuchoma na kuiba vitu makanisani? Kama kufumbia macho vitendo viovu ni busara , yamkini basi hili neno "busara" linatakiwe liwe redefined.Kwahiyo wataka kusema kiongozi shupavu ni yule anaepambana vyema na waislam! kwa taarifa yako hii chembe ndogo ya amani iliyopo sasa hivi ni kwa sababu Rais amekuwa na busara sana katika kuyaendea haya mambo, kama ni wakati wa mkapa nadhani nusu ya watanzania wangeshapoteza maisha kwa vita za kidini, na wala asije akatokea kiongozi yeyote wa nchi hii akasema anapambana na wa waislam atakua ameharibu nchi, atafute jina jengine la maadui zake lakini si uislam na waislam, hapo ndipo kwenye shida. atakae kuwa hai atajionea mwenyewe, mimi naitakia kheri nchi yetu kila siku....
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!
Ndio maana nikasema katika juhudi za kuleta amani au utulivu au kuhukumu mwenye makosa, si kwa sababu ya mtu dini
yake hayo yatekelezwe kwa mtanzania na maslahi ya kitanzania! hata waislam hawapendi kuonekana wao ndio shida, kama wengine mnasema waislam hawajasoma ndio maana lakini yote sio kweli, usishangae ukaona uwiano wa PhD za waislam na wasiokuwa waislam zikawa sawa hapa tanzania, watu wamesoma lakini hawapendi kujionesha au kujigamba Mungu hapendi majivuno!!
· Bw. Naipuli fahamu kuwa hakuna Mkristo mwenye chuki na Uislam hapa Tanzania, ingawa kila uchao Muslims mnafanya mihadhara kuukashifu ukristo, hili halina ubishi kwa 7bu hata ww unajua. Shk. Ponda anasemwa vibaya kwa 7bu anayoyatetea ni madai ya kipumbavu kwa hiyo anastahili kuitwa mpumbavu. Kwa akili yako ww mtu anashabikia na kuhamasisha MUSLIMS eti Mufti wa TZ aondolewe kwa nguvu madarakani na kuchinjiliwa mbali, leo hii tumwite mwelevu. Hapana Naipuli, hili haliwezekani!!!!!!!!!!Najua kwamba una Jazba na Chuki ktk nafsi yako dhidi ya Waislamu. Lakini ninachotaka kukueleza ni kwamba hayo mawazo ulonayo ni ya kipuuzi na kishenzi. Nitakwamibia ni kwanini.
1. Kama kweli wewe unapenda amani, hapa usingemtukana Sheikh Ponda kwa kumwita mpumbavu. Bilashaka ww ndiye mpumbavu.
2. Unapozungumzia eti muislamu mwenye PhD hawezi kushiriki kwenye maandamano, Je, ww una orodha ya walioshiriki kwenye maandamano? Na unaposema eti hawavai suruali fupi, naomba utambue kwamba kuvaa kwa suruali fupi ama ndefu si kwa lengo la kuchafuka ama kutochafuka kwa miguu ya mvaaji. Je, unataka tukutajie majina ya wenye PhD na MaProfesa wanaovaa suruali fupi??
3. Hivi! Kwa akili yako ulikuwa unategemea kwamba waislamu wote wangeshiriki kwenye hilo lililofnywa na Sheikh Ponda?
Nafikiri kama umesoma/unasoma utakuwa unafahamu kidogo kuwa kwenye taasisi au mradi wowote lazima kuwe na HUMAN RESOURCE na NON-HUMAN RESOURCE. Sasa hao unaowaona wewe hawashiriki kwenye mambo kama hayo ujue kuna namna ambavyo wao wanashiriki.
Achana na Chuki na Roho mbaya.