mimi namkubuka zaidi kw tangold,meremete,kiwila,deep green,ni rais wa kwanza kutumia ikulu kufanya biashara,kifupi ni kuwa alibaka imani aliyopewa na mwl ni fisadi la kutupwa
Mimi nishaamkumbuka sana sio nitamkumbuka Ben you were cleaver preseder
Mkuu hapo nilipobold ndipo panaathiri maisha ya watu directly, muda wa mkapa bei zilikuwa hazipandi hovyo hovyo kama sasa hivi; bidhaa zinazotumiwa na wengi wa hali ya kawaida kiuchumi kama mafuta ya kula, mafuta ya taa, unga, sukari zilikuwa hazipandi hovyo hovyo kama zama hii.Of course aliweza pia kudhibiti mfumuko wa bei, kuanza kukusanya kodi kwa uhakika, kuweka idara ya usalama wa taifa kisheria kuwatukana Waingereza CHOG Australia juu ya Mugabe mpaka Blair akampa shavu, na mengine kama hayo..
Nashukuru kwa kuleta hoja hii, jana nilichangia posti moja, nikasema tatizo letu ni udhaifu wa uongozi. Hao waislamu wasingefikia hatua waliyofikia, hasa ya kuchoma makanisa na kuharibu mali kisa eti mtoto kakojolea kurani. Mod naona kaona feki kafutilia mbali mchango wangu. Lakini hii ndo hali halisi. Tatizo la udhaifu wa uongozi ndo maana askari badala kufanya shughuli nyingine ya maendeleo, kila leo wako barabarani kutuliza vimaandamano visivyoeleweka. What a shame...
Muda si mrefu utasikia matukio ya kutisha na amani itakuwa historia. Ukiona watu wanapata uthubutu wa kuua namna ya UAMSHO na bado wanaweza kusimama majukwaani kuipa serikali ultimatum basi jua tumefikia pabaya.
Kwahiyo wataka kusema kiongozi shupavu ni yule anaepambana vyema na waislam! kwa taarifa yako hii chembe ndogo ya amani iliyopo sasa hivi ni kwa sababu Rais amekuwa na busara sana katika kuyaendea haya mambo, kama ni wakati wa mkapa nadhani nusu ya watanzania wangeshapoteza maisha kwa vita za kidini, na wala asije akatokea kiongozi yeyote wa nchi hii akasema anapambana na wa waislam atakua ameharibu nchi, atafute jina jengine la maadui zake lakini si uislam na waislam, hapo ndipo kwenye shida. atakae kuwa hai atajionea mwenyewe, mimi naitakia kheri nchi yetu kila siku....