anakimbilia we are independentcountries we want to govern ourselves, hizo ni hoja za waliokosa hoja wanadhani wanaingiliwa na wazungu.Nimeinyaka video ya mahojiano (mwaka 2001) kati ya Mhe. Mkapa na kile kipindi cha BBC HardTalk.
Kweli hii ilikuwa "HardTalk" kwani jamaa walimbana acha.
Waweza kuitazama kupitia link hii:
Mkapa hasira zilipanda, watu wanajua idadi ya waliokufa yeye akawa anakazana ni 17. Hard talk maan si kitotoMkapa alijitahidi lakini Lissu leo kafunga kazi, Lissu anatiririka mipointi bila hasira wala jazba
Unaweza lia kabisa. Mtu wa yes noo am am am a aaa .Hahaaaa hawa waandishi wa nje wana maswali magumu na hawaogopi jikikumbuka lowasa alimwambia mtangazaji unanionea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka mwenyewe kakiri kuwa hasira zimempandaMkapa hasira zilipanda, watu wanajua idadi ya waliokufa yeye akawa anakazana ni 17. Hard talk maan si kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio kazi ya uandishi wa habari sio huku mwandishi kujieleza tu shiiida. Wale wanafanya kazi kweli ya kukuhoji ukweli ujulikane.
Kuna siku tutamfunga kwa kamba tumpeleke kinguvuHahahaha huyo hathubutu kukanyaga kwa hicho chumba labda kwa kwa kumburuza kama gari bovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewakubali natamani hata wakwetu wangekuwa hvHiyo ndio kazi ya uandishi wa habari sio huku mwandishi kujieleza tu shiiida. Wale wanafanya kazi kweli ya kukuhoji ukweli ujulikane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tukifika pepon hapa bongo mwandishi ajue mambo kiasi kile never. Maswali ya fasta fasta tena mazito vile.?
Viongozi wetu hawapendi tuwe na uwezo wa kujenga hoja kama Mkapa.Wanataka tuwe wanyonge.Na ndio maana ata Bunge Live ilipigwa marufuku.I like it, Mh. Mkapa alivyomweka sawa kwa hoja mwandishi mzungu mpaka akalainika na ku-conduct a proper interview. Ni ndoto zangu hali hii ya kujenga hoja ikaeleweka kama Mh. Mkapa ingekuwa inapatikana ktk serikali zote za kiafrika maanake aliyepo sasa hivi Afrika ni Mh. Robert Mugabe pekee anayeweza kujenga hoja.
Yaani sikuo hata haja ya kumjibu, either hakuelewa kitu au anajaribu ku'deceive wale ambao anahisi hawakuelewa.Nina mashaka na wewe kuwa hujui kiingereza Kama bwana wenu mwenyekiti
Nafikiri sio tu kuwa 'impressed' watu wako 'obsessed' haswaa na umahiri wa kiingereza kuliko hata kuchambua hoja za msingi, sijui eloquence na fluency vina tija gani haswa ya moja kwa moja kwetu?? kama ni hivi tuanze kushadadia na kiswahili chetu tukikipa attention tutafika mbali....Tatizo hapa Watanzania wengi hatujazoea kuwa na watu walio na uwezo wa kuzungumza vizuri ndio maana wengi mnakuwa mko impressed naye. Kwenye nchi zilizoendelea angekuwa anaonekana ni wa kawaida sana.
Alipata nafasi ila nimesahau kama ni BBC Au CNN akaulizwa swali kwanini nchi yako ni masikini akajibu kuwa hajui kwanini ni masikini
Alipata nafasi ila nimesahau kama ni BBC Au CNN akaulizwa swali kwanini nchi yako ni masikini akajibu kuwa hajui kwanini ni masikini
Sent using Jamii Forums mobile app