mwanangu umeiona hiyo! torreeeeeeeees...........chezea chelsea wewe!
Congratulations to all the Blues.
Idawa
chelsea 2 benefica 1
chelsea 2 benefica 1
Mei 17 tunachukua kombe la mfalme Spain na 18 tunaua mnyama week end inaisha kwa raha kabisa. Ila kama kweli Mourinho anakuwenda Chealsea ana kazi kubwa ya kulinda rekodi ya mwaka jana na mwaka huu.
hya mkuu,tunasubilia hyo "lazma mshinde"
Yaan hata sitakua na furaha na hilo kombe Mkuu, hata tukifungwa wala sitaumia!
Haaa haaaaa.....!Nna rahaje?
Heh! Kumbe mod, mbiooooo
Haya ma2nda yanawekwa na kuwa na wahispanionala eg Benitez kaweka heshima kubwa naamini kuna methali 1 wahenga walisema shujaa/nabii hathaminiwi au tenda wema nenda zako usingoje shukrani anawaachia timu rekodi daima watamkumbuka kama Livefool ambayo toka aondoke hawajashiriki tena UCL,kingine Torres na Mata wanawazidi hata wakitajwa wenye medani ya kombe eg ulaya au dunia ni wao pekee tu ndio watatoka mbele so mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,ni hayo tu napita ila nadhihirisha bado waspain wapo juu,j1 ijayo nategemea Javi Martinez mchezaji pekee ktk final UCL siku hiyo ya j1 tarehe 25 mei @wembley aliebeba kombe la dunia atawaongoza wenzake kubeba UCL kama alivyowaonyesha mbinu jinsi ya kuwabana waspain wenzake anaowajua ktk La Furia Roja Xavi na Iniesta.Hongera sana Chelsea, mlipambana kiume na mkaweza kufanikisha adhma yenu...
Hivi Arsenal wakiona haya mafanikio yenu wanajisikiaje?
Si inawapwita sana?