daraja linabomoka kwan pame inapgwa darajani?
Kwani lazima ipigiwe darajani ndo libomoke, the blue colour will turn red tonight... plastic whiners!
natamani ningekuwa na namba yako, chelse is not MAN U ati au uelewi, utashinda bila ata kusumbka!
Final Score: Chelsea 2 Benfica 1!
kaka unakumbuka kile kitimu cha Hispania kimetufanye je? Man U mambo yake mwaka jana yakuwa hivyohivyo walianza Hispania wakapigwa wakaja Ureno wakatolewa. Tukutane online jioni mkuu.