Benifica vs Chelsea

Benifica vs Chelsea

pole mkuu,lakin ww ni wigan kweli au ndio ulitaka ishinde ili arsenal iwe pagumu kucheza uefa msimu ujao.
Mkuu hawa wigan nilikuwa nawapenda tokea walipomfunga Man u last season na kutufanya sisi man city tuwe mabingwa. Sikupenda washuke daraja kabisa lakini pia sikuwa napenda the gunners waikose nafasi ya nne.
 
Hao aseno Wenger anachojivunia toka achukue timu hajakosa champions league toka wakati ule nafasi 2 England anaingiza basi aseno na man utd zilikuwa zinapokezana hadi sasa nafasi 4 aseno hashuki hapo nakumbuka 2006 spurs mechi ya mwisho vs west ham alikuwa ashinde wakafungwa wakadai chakula kiliwekwa sumu wachezaji wao wakawa wanaharisha hao spurs na aseno ilikuwa ucl final anakutana na fc barcelona akafungwa 1-2,sasa nadhani dawa ili Wenger alete makombe England,UEFA waseme England aingize timu 1,nadhani wanaweza kubeba maana Wenger anasifiwa kwa hilo timu haifilisiki 7bu haikosi UCL so atafanya juu chini akikosa ubingwa EPL labda UCL atabeba

Back
Top Bottom