kaka hiki ni kiswakinge!ni hybridi ya kingereza baada ya kingereza kuolewa na kiswahili!
Unapeti....hiki ni kichagga
Unapeti....hiki ni kichagga
[/QUOTE]unajua mnakera sana mnaojifanya na kutamani kila mtu awe mchambuzi wa mpira,,,,,,! wapo ambao wako bize na kazi zao wanachojua ni muda gani game wanaenda kushangalia timu yao,,,,,sasa basi nyie vielele[mtu kaona mpira alafu umwadisia haipendezi mnaudhai sana! usidhani wengine hatujui tunanyamaza kumshika hekima! QUOTE=Mourinho;6359469]Unazi uko wapi hapo au unakurupuka tu kujibu ambacho hujaulizwa?
Nilikua nashangaa how comes the so called "blues fans" hawajui details ndogo kama hizo about their own team? Sasa na wewe badala ya kuwasaidia maoyaoya wenzako hao unaishia kukurupuka kama umekurupushwa usingizini.
Ona sasa umemwaga uharo hadharani!!!!
By the way sio toles it's Torres.
Jifunze kushirikisha ubongo, acha masaburi yafanye kazi yake!
acha uoga wewe ushindi lazima! chezea hazard weye.....!
Plastic fans haooo! Timu za ureno ni bab kubwa aisee, kama mnakumbuka Atl. Madrid wafanya nin basi msiwe mnashabikia kichwa chini miguu juu..... mtaumbuka! From the Gooner..
kaka unakumbuka kile kitimu cha Hispania kimetufanye je? Man U mambo yake mwaka jana yakuwa hivyohivyo walianza Hispania wakapigwa wakaja Ureno wakatolewa. Tukutane online jioni mkuu.
kaka hiki ni kiswakinge!ni hybridi ya kingereza baada ya kingereza kuolewa na kiswahili!
wewewe unatafuta nini huku?
Atletico Madrid ni ya Ureno? Kumbe wewe mshabiki wa mabua bora hata wa plastic!!
naitafuta kofia ya peter,mana leo lazma itamvuka tu!!!
No comment bado nina msongo wa mawazo wa kushushwa daraja kwa Wigan Athletics..!
Nimetoa mfano tu mkuu, najua sana kama atl. Madrid ni ya Uhispania ila, nchi mbili hizi zinazitesa sana timu za uingereza.....kweli wee plastic mkubwa. Bora bua linaliwa na, ng'ombe
we kama siyo man sijui maana ndiyo mnaroho mbaya!
[/QUOTE]unajua mnakera sana mnaojifanya na kutamani kila mtu awe mchambuzi wa mpira,,,,,,! wapo ambao wako bize na kazi zao wanachojua ni muda gani game wanaenda kushangalia timu yao,,,,,sasa basi nyie vielele[mtu kaona mpira alafu umwadisia haipendezi mnaudhai sana! usidhani wengine hatujui tunanyamaza kumshika hekima! QUOTE=Mourinho;6359469]Unazi uko wapi hapo au unakurupuka tu kujibu ambacho hujaulizwa?
Nilikua nashangaa how comes the so called "blues fans" hawajui details ndogo kama hizo about their own team? Sasa na wewe badala ya kuwasaidia maoyaoya wenzako hao unaishia kukurupuka kama umekurupushwa usingizini.
Ona sasa umemwaga uharo hadharani!!!!
By the way sio toles it's Torres.
Jifunze kushirikisha ubongo, acha masaburi yafanye kazi yake!
ah ah ah,ww ndio umemrithi shehe yahya nn mkuu?