Benifica vs Chelsea

Benifica vs Chelsea

Haka ka theard kanafurahisha kweli...
 
Vikosi vya leo
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1368640135.568846.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1368640135.568846.jpg
    61.9 KB · Views: 34
Hawa Benfica wakikosa hili kombe wajilaumu wenyewe.wamewabana Chelsea kila idara lakini wanakosa magoli sana.nahofia counter za ramires,Matta na Torres na makombora ya Lampard!Barca walikufa hivi hivi.
 
Torres kawapiga goli la uwezo sana, watajilaumu sana Benfica wakipoteza mechi yao kabisa hii.
 
It's level now, benfica vs chelsea(1-1)... daraja linabomoka leo.
 
Kazi ipo hapa, ila ni fainali nzuri kuangalia timu zinafunguka hakuna kuviziana.
 
Back
Top Bottom