Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

Jamani....sa si usubiri nimalize kwanza mkopo....ukikigonga hichi kivitz inamaana mkopo ntakua nimekuchukulia wewe. Acha haraka.

ameomba kwenda driving school hajaomba kuendesha hicho kivtz chako, wewe ndo hujamuelewa
 
ameomba kwenda driving school hajaomba kuendesha hicho kivtz chako, wewe ndo hujamuelewa
ha!!we hujui kutembea ni hatua akianza kujifunza kitachofuata naomba niendeshe kidogo... baada ya hapo ninunulie na mimi gari bora benteke umeshituka aissss!
 
Last edited by a moderator:
akikuambia umnunulie utasemaje sasa?umeambiwa umfundishe tu unalalamika
 
ha!!we hujui kutembea ni hatua akianza kujifunza kitachofuata naomba niendeshe kidogo... baada ya hapo ninunulie na mimi gari bora benteke umeshituka aissss!

Hahahahha...Zamaulid umenisoma..........anakuomba round alafu after one week.....anakushusha ofisini alafu yeye anabaki na gari....jioni anakurudia....soma gauge ya mafuta sasa....hehehhe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom