Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 680
- 2,335
Bendi mpya ya Chato Musica imeanzishwa huku wakitoa kibao chao cha kwanza kikiitwa "Hapa kazi tu" ikiwa na kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya 5 inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli.
Nini maoni yako kuhusu bendi hii, unaitabiria itafika wapi?
Nini maoni yako kuhusu bendi hii, unaitabiria itafika wapi?