Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,630
- 33,506
Hahahaha, vipi Chato Aeronautics and Space Agency(CHASA) Lini?
Soon kitakuwepo,watanzania tutakuwa wa kwanza kupeleka mbuzi mwezini! ...hahahahahahahah
Hahahaha, vipi Chato Aeronautics and Space Agency(CHASA) Lini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Soon kitakuwepo,watanzania tutakuwa wa kwanza kupeleka mbuzi mwezini! ...hahahahahahahah
Wangefungua na chato betting ili tuanze kubetia siasa
Soon Chato itakuwa another Mega city within sub Saharan Africa.... Kwa hiyo mpambano utakuwa Chato vs Johannesburg.
Ohoo chato sio level ya bongo sasa.... Shauri yako
😂😂😂Bendi mpya ya Chato Musica imeanzishwa huku wakitoa kibao chao cha kwanza kikiitwa "Hapa kazi tu" ikiwa na kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya 5 inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli.
Nini maoni yako kuhusu bendi hii, unaitabiria itafika wapi?
View attachment 1307616
Hata nyimbo yao siijuiHii bendi bado ipo?
🤣🤣Mimi nawatabiria kufika mbali hata zaidi ya Wenge Musica au Extra Musica ya Rogaroga
Bado inaishi au nayo...?Bendi mpya ya Chato Musica imeanzishwa huku wakitoa kibao chao cha kwanza kikiitwa "Hapa kazi tu" ikiwa na kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya 5 inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli.
Nini maoni yako kuhusu bendi hii, unaitabiria itafika wapi?
View attachment 1307616
Zinaishi bado?Chato FM
Chato Musica
Chato Airport
Chato Bank
Chato FC
Chato National Park.
Chato Acrobatic Group.
Chato Gang.
Chato Music Studio.
Chato Bus Service.
Zinaishi bado?
Kifo cha mendeBado inaishi au nayo...?
Ndio maana biblia inamlaani amtegemeaye mwanadamu
Daah style pendwa ya vijana🤣Kifo cha mende