Bendera za CHADEMA zawa 'tanzanite' Arusha

heba!!!!! endeleeni kumpa kikwete kichefuchefu hadi atapike, manake akikumbuka ule ushindi wa kishindo wa 2005, moyo unaenda mbio. yuko wapi salma kikwete, ridho1 mumtapishe?
 
Mimi hawa vijana wa dala dala ndio wananimaliza nguvu kabisa. Kwanza wanapeperusha bendera za Chadema,
then kada wa CCM anapita na kuwapa Tsh 20000 ili watoe za Chadema na kuweka CCM. Hapo kada wa kijani
anaridhika.. Next day vijana wanapepea Chadema, kada kijani akiuliza kulikoni... jibu malipo yalikua per Day!
! !!!.
kwa mtaji huo watajenga by the time uchaguzi unamalizika
 
nimeshanunua champaigne yangu nangoja kuifungua siku ya kutangazwa matokeo
 
Mimi hawa vijana wa dala dala ndio wananimaliza nguvu kabisa. Kwanza wanapeperusha bendera za Chadema,
then kada wa CCM anapita na kuwapa Tsh 20000 ili watoe za Chadema na kuweka CCM. Hapo kada wa kijani
anaridhika.. Next day vijana wanapepea Chadema, kada kijani akiuliza kulikoni... jibu malipo yalikua per Day!
! !!!.

Hahahahahaha,dah haya wapendwa
 
Hali hiyo hiyo nimekutana nayo Moshi wiki jana, boda boda na dala dala nyingi zilikuwa zikipepe bendera za chadema bila wasiwasi. Kazi ipo.
 
mgombea wa CCM wa ARUSHA aaibika apigwa nyanya na matango soko kuu la ARUSHA na akina mama , wadai ni tapeli iweje aolewe zanzibar aje kutafuta ubunge arusha
 
Kutokana na hali ya kisiasa iliyopo arusha kati ya vyama viwili CHADEMA NA CCM hali imezidi kuwa mbaya kwa ccm kila kukicha, wameanza mchakato wa kununua bendera za chadema kwa gharama yeyite ile bendera moja hununuliwa kwa SH 30000 AU 20000 hiyo ndiyo bei ya chini,

ukifika arusha utazani umeingia tarime dala dala zote zina bendera za chadema na magari ya watu binafsi pamoja na barabara zote, wakati huwo ccm wao hutoa sh 20000 kwenye dala dala iliwazibandike wanaliwa hela zao ile mbaya kwani watu huweka siku moja then hutoa wakiulizwa husema walikuwa wamepaki zikaibiwa ,

juu ya hilo mgombea wa chadema kamanda kijana mpambanaji kweli kweli amesema amedhamiria kugawanya bendera zingine 3000 kwa jiji la arusha .

vijana wa arusha wasema watahakikisha lema anashinda na wapo tayari kulinda ushindi huwo kwa gharama zozote zile mpaka kieleweki wadai hata ccm waweke vifaru mbele ya kituo cha majumuisho
lazima lema atangazwe mshindi........ ccm tupa kuleeeeeee

Mkuu Natoa pendekezo::: Hilo Neno tanzanite ..Lisomeke kwa herufu kuu ya T yaani "Tanzanite" kuonyesha ukuu wa hilo jiwe... na ukuu wa CHADEMA inapoutwaa mji wa Arusha , Mji wa jiwe hilo kwa mara ya kwanza!! ....

Karibu CHADEMA... karibu mji .... wa kihistoria lilipotangazwa Azimo la Arusha.... Azimio la Nguvu ya umma na utu wa Taifa...!
 
mgombea wa CCM wa ARUSHA aaibika apigwa nyanya na matango soko kuu la ARUSHA na akina mama , wadai ni tapeli iweje aolewe zanzibar aje kutafuta ubunge arusha

Na Kuna mahusiano muhimu kati ya Arusha na Zanzibar. Mji Mmoja Kulizaliwa **** Na mji mwingine Kilichozaliwa Arusha kiliuwawa na kuzikwa huko Zanzibar. Matokeo ya kifo hicho umma wa watanzania ni ya tima, hauna nguvu yeyeote. Sasa itakuwa vipi??? ...Ni kweli Azimio la arusha lilikuwa chimbuko na nguvu ya Umma... amabyo sasa yarejea Arusha kwa fulllshangwe!!

Watu wa Arusha fanyeni kitu cha kihistoria...!!

Sherehe za kumsimika Mbuge wenu fanyieni pale kwenye ile nyumba lilipozaliwa AZIMIO LA NGUVU YA UMMA MWAKA 1967 ile si mali ya sisiem ni historia ya Kitaifa .... Na hilo muanze kulitangaza rasmi kwa nguvu zote kuanzia sasa...MUNGU AIBARIKI TZ NA AWABARIKI NA NYIE PIA mnapojianda kwa sherehe nzito za KITANZANITE!!! Kwani nuru ya uhuru iliyokuwa inazimika sasa inarejea!!! Ni Nani anayebishia hili??
 
Alinishangaza Kikwete siku alipokuaj kukampeni Arusha aliposema "nimekuja mara nyingi Arusha, lakini leo uwanja umetapiaka!' . Sikumwelewa kamwe baba wa watu na nikasema moyoni kama kweli uwanja wa Sheikh Amri Abeid ulikuwa umetapika wakati anahutubia (wakati watu walikuwa wakitoka baada ya Fiesta kuisha na yeye kuchelewa kufika) basi wakazi wa Arusha hawampendi Rais wao.
 
Vijana wa lema wastukia vituo feki vya kupigia kura kwenye kambi za jeshi.......... waapa mabox hayo hayatatoka humo wanajeshi watapiga nayo picha dic time no kuibeba ccm kwa njia yeyote ile mpaka kieleweke
 
kama kweli hii ni hatari kubwa,kule wananchi si hawaruhusiwi kuingia?
 
kwa kweli ccm mwaka huu asilimia 101 ya watanzania wameshaugundua upuuzi wao, hawana chao tena. CCM tupa kuleeeeeee.. ......mbafu kabisa.
 
Kamanda wa CHADEMA Lema nusura alishwe sumu pale alipokuwa akipata chakula cha mchana maeneo ya police kuna pub mpya imefunguliwa pale, ila makamanda wake walipo stukia wakamwambia asile yeye wakala wao, kilichowapata wanajua wao wakapewa maziwa fresh wakatapika vilivyo, hayo ndiyo madudu ya CCM wanayo yafikiria
 
SISIEM .... where are ... dont you have anything to say against this?
 
Back
Top Bottom