Bendera za CCM zimeng'olewa Arusha

Bendera za CCM zimeng'olewa Arusha

mkuu mimi siko huko lakini nachokwambia ni kile ninachokiona kinafanyika haiwezekani watu wanasema wanamkubali sana magufuli lakini wanasema kwa kuwa ameondolewa mtu wao hawatani tena na wengine wakifanya hivyo nchi nzina itakuwaje?
Pengine nikuongezee uwanda kufikiri..Sasa hivi hata akina Membe na wengine km Pinda na wengine sidhani km wanaridhika kihivyo kupigwa bao kirahisi na magufuli..nao sidhani km hawatashusha bendera za CCM ..tenda mbaya sana ni kwamba Membe anakwenda pigwa tena bao na Nape...?ipo kazi.Wengi watahujumu kw akujificha nyuma ya Fikra kwamba ni Lowasa ndie shida.
 
CCM wameanza kutafunana wenyewe.
UKAWA wanapita kiulaini.
 
Tumeifuta ccm kanda ya ziwa na sasa tunaimalizia tu mabaki yake. RIH ccm
 
Kiongozi muhadilifu awezi kutokea kaskazini ata siku moja iyo sahau kabisa
 
Kwani si ndie misemo mliwafundisha CCM on the way..kuwa ingawa sijui mimi ni sijui ni Mkristu ila ktk hili..ingawa mimi ni Mchaga ila ktk hili, ingawa mimi ni CCM ila kwa hili la Zitto na CDM ....Ingawa mimi ni CDM ila ktk hili....Lowasa ne alidhani issue ni kwa Wachaga na CDM tuu ndie maana hakuona km ukanda ulimhusu sasa watu wake ndio wanaamka na wanakumbuka alichoongea Mtoto wa mfalme na hadi sasa anajisifu kwa hilo.
Lazima umtaje Zitto
 
nitashangaa sana kama monduli na arusha wataipa ccm kura katika maeneo yote yaani ubunge,udiwani na hata urais. ccm imemtendea hovyo sana lowasa katika mchakato wa kumpata mgombea wa urais.
 
Me Natokea Kilimanjaro.Ukisema Watu Wanahama Chama Kwa Ajili Ya Ukanda Sio Kweli.Lowasa Hata Kabla Hajapita Urais Vyama Pinzani Vilikuwepo.Ukienda Iringa Mjini Chadema Ndo Wanapeta.Je Nayo Ni Kaskazini?Hao Wanaomtaka Lowasa Ni Team Yake Lakini Msiwatukane Watu Wa Kaskazini.Hapa Watu Hawataki Ahadi Za Uongo Na Ndio Mana Wanahama.Na Pia Arusha Wanaish Watu Wa Kanda Zingine Na Pia Suala La Kudai Uhuru Kaskazini Enzi Hizo Ni Kua Tanganyika Haikua United Na Ndo Mana Nyerere Akaifanya United.Na Sio Kweli Kua Kwa Vile Magufuli Kapita Basi Watu Wote Wa Kanda Ya Ziwa Watahamia Ccm.
 
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,


Kanda ya ziwa bendera za ccm zimeadimika sana.Magufuli alituchomea nyavu zetu hatumtaki aende arusha
 
Lowassa akawe rais wa monduli musilazimishe magufuli anatoshaaa
 
Jamani, mbona watu tunajitia wazimu hivi hivi?? Ni nani mmbeya hapa? Kusema Makofuli kaanza kampeni mapema ni umbeya?? Walifanya kampeni ya kufa mtu kwa mbwembwe za kusaka wadhamini na kuchukua form na kurudisha fomu, sasa mzee Lubuva ndo unajifanya kuangalia upande mwingine??
Kama kweli hii ni tume huru, chukua hatua. Mkate huyo Makofuli au mpe hata onyo. Kila kinyume kifanywacho na ccm hakionekani, ila akijaribu kufanya chema, CDM kinaitwa uvunjifu wa amani.
Mkamtandika Lipumba ka Jizi na kumkalisha chini kwenye gari la wazi kuuonesha ulimwengu. Kisa, ati kuandamana kwa amani. Mijizi imeonekana na hatia kabisa kuiba mali za serekali, mnaipa kiti cha kukalia kwenye lile lile gari mlilompakia Lipumba. CCM mna mambo nyiye we acha tu. Nisameheni, nawaza tuuu

Inatia hasira sana Mkuu! Tukutane Octoba
 
Mda wa ccm kuwaujumu wananchi umekwisha wametupiga sana wametuuwa sana na magereza wametufuga. Sasa Hiyo zambi imewajeukia wanatafunana wenyewe kwawenyewe
 
Back
Top Bottom