Magufuli atakuwa rais wa Tanzania,na mwenyekiti wa ccm taifa arusha ni sehemu ya tanzania mta obey sheria za nchi ya tanzania,otherwise hamieni kenya
Bendera hazipigi kura. Na siku zote mnasema ccm hakuna arusha sasa hizo bendera zilifikaje huko.Nyie tulieni watu wa kanda ya ziwa wainyooshe hii nchi. Sasa ndio mmepata mbabe mliokua mnamlilia.Huyu ni zaidi ya kagame.
Magufuli atakuwa rais wa Tanzania,na mwenyekiti wa ccm taifa arusha ni sehemu ya tanzania mta obey sheria za nchi ya tanzania,otherwise hamieni kenya
Hapa Dodoma Singida Morogoro, Shinyanga, Simiyu Magufuli atatafuta kura kweliZa ccm ni za kutafuta ila chadema kila pahala
Inatia hasira sana Mkuu! Tukutane Octoba
Magufuli akipita watz tujiandae kwa utawala mbovu ambao hujawahi onekana Tanzania wala Africa mashariki