Ni kweli kabisa hata mimi nimeenda Arusha jana bendera zote zimeshatolewa wale masalia wa ccm walikuwa wamebakia arusha naona wameamua kusaliti amri wenyewe kabla operasheni FUTA DELETE CCM ARUSHA kuanza tena .
si ametoa amri zitolewe poa na sisi tutafuta zote za upinzani kanda ya ziwa tujue nani bingwa na uko atakapoamia,ili tuone wajinga kweli,rahana ya nyerere na siasa za ukabila itawamaliza,