Kampeni piga mbizi Makomeo kaanza kampeini mapemaaa.Lubuva mkate kama Lowasa
Leo wameona wajiseme chama cha kaskazini lakini pamoja na hayo hawana madhara yeyote kwenye kura za Urais..nyie wajinga na siasa zenu za ukamda na ukabila,watu wakiwasema mnalalamika mimi mmwenyewe nakaa arusha nasikia wanayoyasema
,naomba na kanda ya ziwa zote za upinzani wazingoe tuone na ukabila wanu,
mungu anapompanga mtu kuwa rais kwake sio ukanda wala ukabila bali mtu sahihi wa kuongoza taifa,
Sio Arusha mjini tu hadi huku kwenye wilaya za Arusha watu wengi wamehama wako chadema
Jamani, mbona watu tunajitia wazimu hivi hivi?? Ni nani mmbeya hapa? Kusema Makofuli kaanza kampeni mapema ni umbeya?? Walifanya kampeni ya kufa mtu kwa mbwembwe za kusaka wadhamini na kuchukua form na kurudisha fomu, sasa mzee Lubuva ndo unajifanya kuangalia upande mwingine??
Kama kweli hii ni tume huru, chukua hatua. Mkate huyo Makofuli au mpe hata onyo. Kila kinyume kifanywacho na ccm hakionekani, ila akijaribu kufanya chema, CDM kinaitwa uvunjifu wa amani.
Mkamtandika Lipumba ka Jizi na kumkalisha chini kwenye gari la wazi kuuonesha ulimwengu. Kisa, ati kuandamana kwa amani. Mijizi imeonekana na hatia kabisa kuiba mali za serekali, mnaipa kiti cha kukalia kwenye lile lile gari mlilompakia Lipumba. CCM mna mambo nyiye we acha tu. Nisameheni, nawaza tuuu
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,
ok, nadhani wameng'oa ili kuweka mpyaa...
Teh he teh eee..
nyie wajinga na siasa zenu za ukamda na ukabila,watu wakiwasema mnalalamika mimi mmwenyewe nakaa arusha nasikia wanayoyasema
,naomba na kanda ya ziwa zote za upinzani wazingoe tuone na ukabila wanu,
mungu anapompanga mtu kuwa rais kwake sio ukanda wala ukabila bali mtu sahihi wa kuongoza taifa,
Leo wameona wajiseme chama cha kaskazini lakini pamoja na hayo hawana madhara yeyote kwenye kura za Urais..
Bendera za ccm Arusha zilikuwepo kwa bahati mbaya.... Bora wameziondoa wenyewe
Watu wa kaskazini mwa Tanzania walishaikataa ccm muda mrefu sana...huo ni muendelezo tu...
Sio Arusha mjini tu hadi huku kwenye wilaya za Arusha watu wengi wamehama wako chadema
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,
Akili za mijitu ya ccm ndio zilivyo...inawaza ukanda na ukabila tu!..😕
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,
Huyo makomeo hatakiwi kanda ya ziwa,labda atapata kura za Zanzibar na msogaWatu wa kaskazini mwa Tanzania walishaikataa ccm muda mrefu sana...huo ni muendelezo tu...
wewe unasema nini katika kanda zinazoongoza kwa siasa za ukanda kasikazini ndo namba moja,