Bendera za CCM zaiteka Arusha

Mna kauli ambazo zitawafanya na wao wenye Magufulı wawakatae nanyi.Kuweni makinı,km nyie mwaenda Mwanza,Tabora,Shinyanga,Geita,Sımiyu,Mara na Kagera nao wanawakarimu,nanyi wakarimunı wanapokuja kwenu.Tz ni moja.

Tutawakirimu kwa mengine lakini siyo kura. Waambie waje tu na siku ya kuondoka wasepe na vibendera vyao, vitaleta giza bure
 
Mgonjwa wa akili ama unaumwa na Malaria wewe?

bendera zitaitekaje Arusha kama M/Kiti wa chama wa CCM Taifa JK mwenyewe alipima kina chama maji kupitia MAFURIKO YA G.LEMA na yale ya Mr.PRESEDENT ajaye EDWARD NGOYAI LOWASSA.

Akagundua yeye atapelekwa na SUNAMMI akaamua kuingia uchocho mpaka leo hatujamwona aende kuwaaga wana wa Arusha AMRI ABEID SHEIKH STADIUM.

Sembuse Pombe Magufuli??? Ameingia kutu na ccm yake.
 
ulizia wakazi wa hapa! Nini kinachojiri! Bendera za ccm zinapepea kila mahali arusha! Hata pale central police kuna picha za mgombea wa ccm, na bendera za ccm, lakini chadema ndio chama tawala arusha! Mabango na bendera za ccm arusha, zipo kwa ajili tu, ccm na serikali yake wanawatumia polisi kukuyalinda mchana kutwa, na usiku kucha! Ila watu hawako radhi kuona ccm ikitamba hapa mjini kwetu!!! Madiwani wote watakuwa wa chadema, na mbunge atakuwa wa chadema! Nina uhakika!

Mimi binafsi niko tayari kwa vita!!!!
mi mwenyewe niko ready ...!
 
Bendera ni ishara muhimu !
Kabla ya leo hatukuzowea kuona bendera za ccm Arusha.

Ulitaka zishushwe au zitolelwe? Watu wa Arusha hawana wasiwasi nazo kwani ccm Arusha ilishakufa siku nyingi.Arusha wanajitambua na wanakijua chama chao hawana papara akili kumkichwa.
 
Kipindi cha Chadema asilia usingiweza kuona bendera za CCM mtaani lakini mambo yamebadilika

Hakuna cha chadema asilia wala chadema feki nchi hii wote ni wamoja. Kama ulidhani Dr cassava angeondoka na wanachama hilo sahau wote wamempuuza na kumuona kanyaboya linaloongozwa na mkewe.
 
Ninavyofahamu CCM Arusha ilishazikwa siku nyingi, Hizi Bendera huwa zinawekwa usiku wa manane, na walinzi wanawekwa kuzilinda 24/7 .. Kuna sehemu moja pale mwanzo wa barabara ya kuelekea SOMBETINI, NGUSERO, kuna kituo cha bodaboda, karibu na baa ya EMAYANI.

Kile kituo cha BODABODA, kimefungwa, madereva toyo waliokuwa pale wamekimbia, wengine wako LOCKUP mpaka sasa! baada ya kughasiwa na Polisi, eti kisa kuna karatasi ilitokuwa na TANGAZO la chagua MAGUFULI lilibandikwa pale kituoni kwao likachanwa na wahuni! ARUSHA sio mahali salama kwa CCM!

Mussa Allan nitafute team Lowasa tufahamiane
 
Wenyekiti wa serikali za mitaa ya Arusha wawili wamehamia chadema leo.

Hizi ofisi za ccm Arusha sijui wamebaki wafagizi na walinzi maana mji wote wa Arusha viongozi wameikimbia ccm. Aisee Arusha mji wa kihistoria kulikoanzishwa Azimio la Arusha leo hii kikwete ameudhalilisha hadi kukimbiwa na viongozi? Hili ni jambo la aibu kubwa sana kwa kikwete
 
Usione ajabu Arusha kuwa na hizo bendera, CCM ina wanachama kila kwenye nyumba kumi, mashina na matawi kila mtaa. Hata kama watu wa Arusha wanaipenda sana CHADEMA lakini wapo wanaoipenda zaidi CCM. Endeleeni kuamini kuwa mko wengi sana huko Arusha halafu matokeo yatawaonesha kua CCM bado ni chama dume na kitaongoza kwa majimbo mengi huko huko Arusha

Usitudanganye hizo ni ndoto ccm Arusha wapo kwa kujificha hawathubutu hata kutoa pua zao.ccm arusha imekuwa upinzani siku nyingi.
 
Kama bendera na mabango yanapiga kura basi Magufuli Aapishwe aende ikulu.

Uliwahi kuleta mada hii hii kuwa bendera za ACT zimepamba mji wa ARUSHA..Akili yako kama ya mutoto.,leo ukatoa neno ACT ukaweka CCM

huyu ni wale wasiojielewa mkuu
 
BENDERA hazipigi KURA...!!!

CCM hata hamjui vitu.. mko gizani kabisa
 
Arusha nawakubali sana kwa msimamo.bendera ni kitu gani?hasira tumezificha hadi tarehe 25 kumtuimua ccm
 
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.
Halafu hapo ndio TWAWEZA wana kwenda kutafiti na kuja na matokeo ya "Bara bara za Moshi to Arusha Magufuli anaongoza kwa asilimia 80" ( 80% :bathbaby: )
 
Sambazeni sana hayo mabendera yenu ila mjue hayo ndo yanawatia hasira wananchi. Arusha ccm mnajifurahisha tuu.

Jiandae kura malimao, Arusha are heart voters wa Magufuli, a green colour has raised in A town, we support Magufuli, we support the pusher, will push out Ukawa
 
Jiandae kura malimao, Arusha are heart voters wa Magufuli, a green colour has raised in A town, we support Magufuli, we support the pusher, will push out Ukawa

CCM Arusha ilishajifia zamaaaaan,
Hata kuku akishachinjwa huwa anajirusharusha ihali atakata Roho na kuliwa kama kitoto:-(
 
  • Thanks
Reactions: bdo

Similar Discussions

Back
Top Bottom