Bendera za CCM zaiteka Arusha

Bendera za CCM zaiteka Arusha

Bendera kazi yake deki wazimwage tuu raia wapigie deki barabara kumpokea el
 
Kipindi cha Chadema asilia usingiweza kuona bendera za CCM mtaani lakini mambo yamebadilika

Hahahahahha CCM mnachonifurahisha ni pale mnajitekenya wenyewe halafu mnacheka, kwahiyo mnataka kuwaonesha tunawachukia tuzichome moto ili mtukamate tusipige kura? Hasira zetu dhidi ya CCM tumezihifadhi mtaziona tarehe 25 Oktoba zimebaki siku 31 tu subirini hukumu yenu
 
Hivi kweli wapo wapi....?......unajua siwaoni kabisa.......hebu niambie........

Ngastuka ndio msemo wao ...wamechill kuona vimeo wakijichanganya!

Sio mafala !
 
Ninavyofahamu CCM Arusha ilishazikwa siku nyingi, Hizi Bendera huwa zinawekwa usiku wa manane, na walinzi wanawekwa kuzilinda 24/7 .. Kuna sehemu moja pale mwanzo wa barabara ya kuelekea SOMBETINI, NGUSERO, kuna kituo cha bodaboda, karibu na baa ya EMAYANI.

Kile kituo cha BODABODA, kimefungwa, madereva toyo waliokuwa pale wamekimbia, wengine wako LOCKUP mpaka sasa! baada ya kughasiwa na Polisi, eti kisa kuna karatasi ilitokuwa na TANGAZO la chagua MAGUFULI lilibandikwa pale kituoni kwao likachanwa na wahuni! ARUSHA sio mahali salama kwa CCM!
 
Mimi nimeshangaa kuziona bendera za ccm zinapepea sekei na philips iliyokuwa kambi ya chadema
 
Hapa Njombe wameweka bendera kutoka NBC hadi airport sasa sijui wana maana gani?
 
Pia nimepota Iringa mjini mshine tatu kwenye kituo cha bodaboda na kukutana na ubao wa wazo la leo umeandikwa "KULA CCM KULALA CHADEMA(UKAWA)
 
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.

Surua: katika wale 25% wa Lowasa kwenye poll ya twaweza, zaidi ya nusu wanatoka Kilimanjaro na Arusha. Waliobaki ni Udasa na Mbeya na Mwanza mjini, wengi wao wafanyabiashara kutoka kanda ya Kaskazini.
 
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.

Mbona hamna picha za hzo bendera? au umecreate news af uwahi posho?...ok haina noma Zile bilion 150 baada ya kuleta msuguano NCCR wamezileta na Arusha, hata hivyo tutazipiga af tunawachinja oct 25...pumbaf
 
Hahahahahha CCM mnachonifurahisha ni pale mnajitekenya wenyewe halafu mnacheka, kwahiyo mnataka kuwaonesha tunawachukia tuzichome moto ili mtukamate tusipige kura? Hasira zetu dhidi ya CCM tumezihifadhi mtaziona tarehe 25 Oktoba zimebaki siku 31 tu subirini hukumu yenu

Bendera zenyewe zinapandishwa usiku!!! Vijana wanapewa mtonyo ndio wanazipandisha!!! Hahahahahaaaa
 
Back
Top Bottom