Bendera za CCM zaiteka Arusha

Bendera za CCM zaiteka Arusha

Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.

Wenyekiti wa serikali za mitaa ya Arusha wawili wamehamia chadema leo.
 
Walete hadi Mbulu walipotuwekea mgombea alieishia darasa la 4,na juzi katoa kali ya mwaka baada ya kusema ametumikia jeshi miaka 5

Mpeni Mustafa Akonaay ubunge hata kama amehamia ACT WAZALENDO kutoka chadema. Amewapatia barabara ya lami Karatu- Gidarafa na ni mwanasheria machachari.
 
Mimi nimeshangaa kuziona bendera za ccm zinapepea sekei na philips iliyokuwa kambi ya chadema
Ulizia wakazi wa hapa! Nini kinachojiri! Bendera za CCM zinapepea kila mahali Arusha! Hata Pale Central Police kuna picha za mgombea wa CCM, na bendera za CCM, lakini CHADEMA ndio chama tawala Arusha! MABANGO na BENDERA za CCM ARUSHA, zipo kwa ajili tu, CCM na Serikali yake wanawatumia Polisi kukuyalinda mchana kutwa, na usiku kucha! Ila watu hawako Radhi kuona CCM ikitamba Hapa mjini kwetu!!! Madiwani wote watakuwa wa CHADEMA, Na Mbunge atakuwa wa CHADEMA! Nina uhakika!

Mimi Binafsi niko tayari kwa VITA!!!!
 
Wanahangaika bure kwani bendera zinapiga kura?
 
Huku kwetu mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm ya nyumba kwa nyumba tena usiku maana kwenye majukwaa hana kabisa. Babati mjini itakuwa jimbo halali ya chadema
 
Hii ni kashfa kwa polisi kuwa central police arusha kuna picha za mgombea ccm na bendera za ccm naliomba jeshi lifuatilie hili km ni kweli basi viongoz wa jeshi mkoa watoe maelezo ni kwann hizo picha zipo na hatua stahik zichukuliwe dhidi yao na km ni uongo basi mtoa post juu ya hili atafutwe kwa kulichafua jeshi.
 
Kama bendera ndio ushindi wenu ccm basi mmeshinda...teh teh teh Tutampigia kura EDWARD LOWASSA
 
halafu bulembo kasema hawana shida na kura za kaskazini....sijui kwa nini bado mnajipendekeza??

Mna kauli ambazo zitawafanya na wao wenye Magufulı wawakatae nanyi.Kuweni makinı,km nyie mwaenda Mwanza,Tabora,Shinyanga,Geita,Sımiyu,Mara na Kagera nao wanawakarimu,nanyi wakarimunı wanapokuja kwenu.Tz ni moja.
 
Ulizia wakazi wa hapa! Nini kinachojiri! Bendera za CCM zinapepea kila mahali Arusha! Hata Pale Central Police kuna picha za mgombea wa CCM, na bendera za CCM, lakini CHADEMA ndio chama tawala Arusha! MABANGO na BENDERA za CCM ARUSHA, zipo kwa ajili tu, CCM na Serikali yake wanawatumia Polisi kukuyalinda mchana kutwa, na usiku kucha! Ila watu hawako Radhi kuona CCM ikitamba Hapa mjini kwetu!!! Madiwani wote watakuwa wa CHADEMA, Na Mbunge atakuwa wa CHADEMA! Nina uhakika!

Mimi Binafsi niko tayari kwa VITA!!!!

Hapo aya ya mwisho ndio umeonyesha field strength ya akili yako,huo ni ujinga wa hali ya juu kabisa;
 
Sambazeni sana hayo mabendera yenu ila mjue hayo ndo yanawatia hasira wananchi. Arusha ccm mnajifurahisha tuu.

Usipende kukariri maneno hayo, "Arusha,CCM imefutika"!Kwa kuwa ndo anatokea Lowasa?Hayo maneno yanaweza kuwacost na mkapoteza ndoto zenu!
 
Usione ajabu Arusha kuwa na hizo bendera, CCM ina wanachama kila kwenye nyumba kumi, mashina na matawi kila mtaa. Hata kama watu wa Arusha wanaipenda sana CHADEMA lakini wapo wanaoipenda zaidi CCM. Endeleeni kuamini kuwa mko wengi sana huko Arusha halafu matokeo yatawaonesha kua CCM bado ni chama dume na kitaongoza kwa majimbo mengi huko huko Arusha
 
Feruzi mwenyewe karibia anajiunga na chadema,nyie mnababaika na bendera!.Safari hii Arusha hata kata moja hamptati.Sana sana amepata muda wa kuzunguka mjini na cruiser huku zikiwa na speaker na picha lakini mikutano hawana pa kufanyia zaidi ya pale Narenaro kwa wauza mirungi
 
Ni wazı kwamba Magufuli atapata wakati mgumu sana kupga kampenı Arusha na Kılımanjaro.Lakinı wenyejı wanatakiwa kuwa makini wasilete fujo ambazo zitajenga feelings za uzalendo kuendana na maeneo watokayo wagombea.
 
Back
Top Bottom