Bendera za CCM zaiteka Arusha

Bendera za CCM zaiteka Arusha

Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.
Kwa arusha na moshi kwakweli ni kama hakuna ccm watu wasijdanganye kabsa katka watu 100 ccm labda ni 2 kutumia bendera kama kipmo ni ujinga.. basi ACT kingekua chama kikuu Tz cz kimejaza bendera kila kona
 
Wakaskazini jamaa yenu mlutheri ana kimavi ..tokea 1995,2005 na sasa 2015 bado hata 3 bora hakuwahi kuwemo ..jamaa hauziki.
 
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.
Ole wao, wangejua hizo bendera zinavyowaongezea watu hamasa na hasira ya kuitoa CCM madarakani! Lakini ndio hivyo tena sikio la kufa kwani linasikia dawa?

Hiyo inaitwa inverse proportion; the more CCM posters in Arusha, the less the number of votes CCM will get.
 
Usemalo no kweli huku Arusha ccm zimebaki benders na magari ya matangazo , halina mvuto tumelitupa kuleee tunasubiria mda ufike wabunge na madiwani wetu wakaapishwe
 
Back
Top Bottom