CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti na Wasanii mizigo wakati wana Mabadiliko ni Wananchi ambao hawanunuliki,sombasomba ya wanachama na wasio wanachama kwa malori na mabasi,honga honga ya fedha,kanga,vitenge,Tshirts na Kofia,kejeli na matusi kwenye majukwaa ya Siasa,kusambaratika kwa timu ya watu 32 ya Kampeni ya CCM,n.k!Wana UKAWA tunasema ‪#‎HapaZikaTu‬!..Lowassa TOSHA KABISA!!