Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

Acha uongo ndugu Arusha hipi hyo au ya kasulu nn ..... Huku ni pepoz only....
 
Ni ndani ya siku hizi tatu ninashuhudia utitiri wa bendera za ACT haswahaswa katika mitaa ya Kimandolu na Ngulelo.

Sijaelewa kwanini na sifahamu ni nani anayezigawa na pia inashangaza kwanini zinapepea tena karibu na barabara.

Siasa ya mwaka huu ni ngumu, wanasiasa wanaonesha ulaghai huku raia wakiwa wajanja mno!

bendera za ACT zinatolewa na CCM
 
Ni ndani ya siku hizi tatu ninashuhudia utitiri wa bendera za ACT haswahaswa katika mitaa ya Kimandolu na Ngulelo.

Sijaelewa kwanini na sifahamu ni nani anayezigawa na pia inashangaza kwanini zinapepea tena karibu na barabara.

Siasa ya mwaka huu ni ngumu, wanasiasa wanaonesha ulaghai huku raia wakiwa wajanja mno!

Picha plz!
 
Nitapiga na kuziweka mkuu lakini wakati unasubiri waulize wakazi wa maeneo hayo ambao wako humu jamvini.
by the way...Leo hii huniamini hata mimi?

Unajidhalilisha bure,mwaka huu magamba mnarukiarukia kila chama,teeeeeh
 
Utaniona kioja sana miezi hii kama kweli inavyokuwa chungu.

Hadi utatokwa na kibiongo mwaka huu kwa kubeba vilivyo washinda wenzako
 
Attachments

  • 1438281757665.jpg
    1438281757665.jpg
    7.9 KB · Views: 136
wewe naona huwajui watu wa kaskazini vizuri. yaani mtu wa kaskazini ashabikie chama cha zito aache CHADEMA? Labda huyo ni muha kibarua anatafuta maisha huko

Asante sana kwa jibu kwa huyo mtumwa wa lumumba
 
ACT ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa. UKAWA imebainika ni genge la wasakatonge kwakuwa tayari kupokea watu waliofilisika kisiasa ambao Mwl Nyerere alikwisha walaani.

Ni Kwa nini mashambulizi yenu huwa mnayaelekeza CDM tu,CCM mnaiogopa?acheni ujinga wa kujiita wapinza Kwa kuisaidia CCM kuua upinzani
 
Dr. Slaa anagombea uraia kupitia ACT Wazalendo..hapo wanawaandaa kisaikolojia
 
Back
Top Bottom