Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

Bendera ya kwanza ipo panone pale shangarai!
Hii iliwekwa kama wiki mbili hivi zimepita!
 
ACT ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa. UKAWA imebainika ni genge la wasakatonge kwakuwa tayari kupokea watu waliofilisika kisiasa ambao Mwl Nyerere alikwisha walaani.
Mkuu ili kihesabike kuwa chama kikuu cha upinzani kinatakiwa kupeperusha bendera ngapi?
 
haaah!!! bado hujajua tu kuwa ACT ndo chama kikuu cha upinzani baada ya octoba 2015?? UKAWA na LOWASSA ikulu na CCM ndo itakuwa imekufa na kuzikwa baada ya 25 octoba. so ACT chama pinzani UKAWA tawala
 
ACT ni chama cha shetani..... haikubaliki hata mbinguni
 
Back
Top Bottom