Hii video inachekesha mno.Hii hapa mie sikuwa hata namfahamu ndio nimeona
Ana bonge la eneoalisema atamfufua Kanumba
Manamake mengi ni kama mataahira fulani!alisema atamfufua Kanumba
Dah Africa tunasafari ndefu sana mpaka kufikia hata ulaya ya mwaka 70 tuuuHii hapa mie sikuwa hata namfahamu ndio nimeona
Ndio uwaweka mjini waganga na manabiiManamake mengi ni kama mataahira fulani!
mbona kama zile movie za mazombie live live??ππππSio mazombi kweli hao
Yaani ni shida sana! Mengine mpaka yanavuliwa vyupi yanachokonolewa na manabii eti yapate upako!Ndio uwaweka mjini waganga na manabii
WamevurugwaYaani ni shida sana! Mengine mpaka yanavuliwa vyupi yanachokonolewa na manabii eti yapate upako!