Bendera ya Tanzania...inauzwa wapi?

Bendera ya Tanzania...inauzwa wapi?

Za mafundi Cherehani ni fake...nataka kitu original
...mkuu neno original na fake ni subject to definition, yaani inategemea tafsiri ya mtumiaji, hata hizo nyingine wanakata vitambaa same same material na ya mafundi wa mtaani, labda nikuulize unajua bendera za serikali zinatengenezwa wapi.? do your homework...
 
Nami natafuta hii bendera Wakuu, zinapatikana wapi?
 
Dollar zimeadimika, mafuta yameadimika, sasa na bendera nazo hakuna. Jamani, hivi Tanzania kuna nini kinaparikana kwa urahisi sasa?
 
natafuta picha ya kiongozi wangu alhaj kapuya

download.jpeg

Hiyo hapo
 
Hawauzi tu kama njugu..hutopata..fuata wale waliokuambia ukashone kwa fundi cherehani na ukikamatwa nayo kesi.
 
Back
Top Bottom