mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
- Thread starter
- #21
Za mafundi Cherehani ni fake...nataka kitu original...mbona mafundi cherehani wapo kibao tu,unahangaika nini...
Za mafundi Cherehani ni fake...nataka kitu original...mbona mafundi cherehani wapo kibao tu,unahangaika nini...
Tanzania kwanza vyama baadae...ila later nitahitaji bendera ya CUF, je nitaipata wapi?za chadema huhitaji?
...mkuu neno original na fake ni subject to definition, yaani inategemea tafsiri ya mtumiaji, hata hizo nyingine wanakata vitambaa same same material na ya mafundi wa mtaani, labda nikuulize unajua bendera za serikali zinatengenezwa wapi.? do your homework...Za mafundi Cherehani ni fake...nataka kitu original
...ukija hitaji ya cuf pita bungoni, kuna mafundi watakuunganishia mabaki ya vitambaa..tehTanzania kwanza vyama baadae...ila later nitahitaji bendera ya CUF, je nitaipata wapi?
Umepata? Bendera inatakiwa kuomba wizara tuNami natafuta hii bendera Wakuu, zinapatikana wapi?
Sijapata aiseeumepata? bendera inatakiwa kuomba wizara tu
Zinauzwa kila moja ni 103400 hapo gpsa ila wnataka na barua ya utambulisho wa serikali ya mtaaSijapata aisee
Maduka binafsi hayauzi?
Jamani, bendera ya Tanzania hadi tutoe mawasiliano!!? Sasa kama ingekuwa ya Marekani si ingekuwa balaa?




Serikali bado ina maduka??mtaa wa jamhuri pale kwenye duka la serikali. opp mafuta house car parking
Lugola je ?Muulizie Mwigulu maana yeye mwili mzima ni bendera ya taifa
Sawa mkuu,Zinauzwa kila moja ni 103400 hapo gpsa ila wnataka na barua ya utambulisho wa serikali ya mtaa
Kesi ya nini?Hawauzi tu kama njugu..hutopata..fuata wale waliokuambia ukashone kwa fundi cherehani na ukikamatwa nayo kesi.
Huyu aliemng'ang'ania mbona kama sielewi? Ni kama afya mgogoro hivi, au?????View attachment 2764405
Hiyo hapo
Punguza mzaha dada yangu!Ama wafanyabiasha sio wazalendo Au serikali yenyewe Haina uzalendo, bidhaa hii kuwa adimu Mi naona co haki