Huu ni uchokozi wa watawala ili Vijana wa CHADEMA wachukue hatua(Reaction) kujibu mapigo na hapo ipatikane sababu ya kuwakamata.
Tunaomba Chadema watumie busara zifuatazo.
1/Watoe Tamko la kulaani kitendo hicho.
2/Watoe onyo kali kwa hao wahusika.
3/Wachungue dhumuni na msukumo ya hao watu kufanya hivyo na kuweka hadharani uchunguzi huo.
4/Wachukue hatua za kisheria dhidi ya wote waliohusika kama kuripoti Polisi!, Kwa Tendwa!, Mahakamani.
5/Wapandishe bendera mpya kwenye hiyo ofisi na sehemu mbalimbali kwenye hiyo kata(Ikiwezekana kila nyumba ya wanachama wa Chadema) tena kwa shamrashamra, nderemo, vifijo na mbwembwe.
6/Wapake rangi upya hiyo ofisi na pia sehemu mbalimbali za wazi kama kuta za nyumba za wapenzi wa Chadema.
Hiyo ni sawa na kushindana na kimbunga!..kitu ambacho hawataweza ni kufuta chadema ndani ya mioyo yetu......
Huyo Mtendaji hajui mwisho wa majukumu yaku hata kama alifanyiwa Interview hakuambiwa aangalie vyama vya upinzani na ukifuatilia kwa makini utakuta ni wale walioanza kwa kujitolea kwanzandipo akaajiriwa haelewi majukumu yake yanamtaka kufnya nini wapi na kwa wakati ganiHuu ni uchokozi wa watawala ili Vijana wa CHADEMA wachukue hatua(Reaction) kujibu mapigo na hapo ipatikane sababu ya kuwakamata.
Tunaomba Chadema watumie busara zifuatazo.
1/Watoe Tamko la kulaani kitendo hicho.
2/Watoe onyo kali kwa hao wahusika.
3/Wachungue dhumuni na msukumo ya hao watu kufanya hivyo na kuweka hadharani uchunguzi huo.
4/Wachukue hatua za kisheria dhidi ya wote waliohusika kama kuripoti Polisi!, Kwa Tendwa!, Mahakamani.
5/Wapandishe bendera mpya kwenye hiyo ofisi na sehemu mbalimbali kwenye hiyo kata(Ikiwezekana kila nyumba ya wanachama wa Chadema) tena kwa shamrashamra, nderemo, vifijo na mbwembwe.
6/Wapake rangi upya hiyo ofisi na pia sehemu mbalimbali za wazi kama kuta za nyumba za wapenzi wa Chadema.
hiyo ni kazi ya mchumi wao ndo huwa zake hizo kupambana na wapinzani wake kwa mbinu za hovyo hovyo.
Hao ni wakusaheme tuu maana hawako sawa kichwani