Bendera ya CCM yachomwa na Wamachinga

Wazee kwani wale wanao amua kuvihama vyama vyao kwa shangwa zoote na kuhamia katika vyama vingine si huwa wanarudisha kadi kwa kiongozi wa chama anachohamia jee hiyo nayo inaonekana sio uhuni kwa yule kiongozi kuzipokea zile kadi?kwanini muhusika asiirudishe ile kadi katika chama chake alicho kihama? pengine jibu litakuwa kuwaile kadi niyake ni mali yake ana weza kufanya anavyo ta ikiwemo kuchoma au kubadika chooni au vyovyote sasahii bendera ni mali yanani? kwani ninatuma katika hivyo vijiwe kuna michango hapo inapitishwa kama vile mlingoyi saruji mafutaya taa na ikiwemo hiyo bendera sasa wanye maliyao wameona hiyo bendera haina faida kwao kwanini ni vibaya kuamua maamuzi ambayo wanaona ujumbewao utafika haraka kwa walengwa kuliko kuendelea kufanyiwa usanii ambao haushii mpaka wataingia kaburini.
 
bendera ni kitambaa tu,kikichomwa na ujumbe ukifaulu kufika kwa walengwa ni kufaulu na wala siyokuweka usalama wa nchi hatarini. vijana endeleeni kuchoma vitambaa hivi vilivyosimikwa kwenye maeneo yenu kuwapumbaza wakati wasimikaji wa vitambaahivi wakila kuku dsm,na nyie mkivuta bangi na petroli
 
Kilichochangia kuchomwa hiyo bendera ni hiki.
Pale Iringa mjini ( ipogoro) bus stand, kumejengwa mabanda ya kisasa kwa tofali za kileo ( hydrafoam- spelling) ambayo JK aliyafungua na kusifia sana.Mabanda ni mengi sana na mazuri sana,binafsi nimeyaona na kuambiwa moja ya mashirika yetu ya umma yamemwaga pesa pale. Mabanda yale yalijengwa kwa jina la Machinga. Mkandarasi akajenga vizuri sana yakavutia wachoyo wachache,wachoyo hao ambao tayari wameshiba wakayachukua kwa majina ya watu wao ambao hawakustahili(sio chinga) kabisa( kwa maelezo ya wamachinga). Chingas wakakosa/wamekosa kama kawaida. Hii imechangia chingasi hawa kuja juu. Mabanda yapo ila wajanja wamehodhi.

Hii ni moja ya sababu za hao chingas kuchoma ili kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom