marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Hakika tunaanza kusikia sauti yakooo! Ivi nape leo niwakumsemea Ben saanane? Ben kama u mzima nahakika mateso yako Mungu anayaona na atakujibu na la hasha siombei iwe ivo lakini kama kwa bahati mbaya umetangulia mbele za haki basi damu yako bado i hai inasema tena kwa namna ya ajabu sana.
Mungu wetu ni Mungu wa haki sana, atatenda kwa wakati wake sina cha kuwaambia watawala lakini kaeni mkijua Mungu wetu ni mkuu na yu hai hata milele aliahidi kutupigania maisha yote na hakika Mungu hawezi kumwacha Beni. Kama hatutaonana katika ulimwengu huu basi naamini tutaonana kwenye ufalme wake.