Ben Saanane whereabouts to be unfolded at JamiiForums

Hahahahaha ila sikushindi ww mkuu au sio maana we si una PHD ya upuuzi,mwenzio ndo kwanza nimefanya mtihani wa Taifa wa daràsa la 4 wkt mwenzangu ss hv unafanya tafiti ujitwike uProf ktk hii fani.

Hongera sana mkuu.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
Hivi ni kwa nini unakuwa mpuuzi kiasi hiki?
 
Hivi ni kwa nini unakuwa mpuuzi kiasi hiki?
Mkuu hata mm sielewi kwann maybe kichwa changu kizito kuielewa hii kozi ya Upuuzi wakati mwenzangu unachanja mbuga kwa speed ya mwanga na hv punde utajitwalia Uprof ktk fani yako hii pendwa ya Upuuzi.

Hongera kwa kuwa Gifted ktk hii kozi mkuu,big Salute kwako mzee baba umeiva kwenye Upuuzi aisee.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Mkuu hata mm sielewi kwann maybe kichwa changu kizito kuielewa hii kozi ya Upuuzi wakati mwenzangu unachanja mbuga kwa speed ya mwanga na hv punde utajitwalia Uprof ktk fani yako hii pendwa ya Upuuzi.

Hongera kwa kuwa Gifted ktk hii kozi mkuu,big Salute kwako mzee baba umeiva kwenye Upuuzi aisee.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
Aisee lini utaacha upuuzi, unaona sifa sio?
 
Aisee lini utaacha upuuzi, unaona sifa sio?
Dah aisee sijajua mkuu,labda tusubiri haya matokeo ya huu mtihani wa std4 tuliofanya nahisi nikifeli nitaacha maana hii kozi ya Upuuzi imekuwa ngumu kwangu cha ajabu mwenzangu Umetoboa mpaka level hizo za mbali ktk kozi yetu hii ya Upuuzi,

Mkuu hv unajua ww ni kichwa ktk UPUUZI?Hongera kwa kutoboa.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Dah aisee sijajua mkuu,labda tusubiri haya matokeo ya huu mtihani wa std4 tuliofanya nahisi nikifeli nitaacha maana hii kozi ya Upuuzi imekuwa ngumu kwangu cha ajabu mwenzangu Umetoboa mpaka level hizo za mbali ktk kozi yetu hii ya Upuuzi,

Mkuu hv unajua ww ni kichwa ktk UPUUZI?Hongera kwa kutoboa.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
Yaani bado tu unaendeleza upuuzi wako?
 
Mtu huyu mwenye rekodi ya mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.
Angalia heading ya bandiko lako hili, na tarehe ya bandiko hili, halafu angalia nini kilikuja kutokea kwa Ben Saanane.

Wana jf tuanze kujifunza kuchunga kauli zetu, kauli nyingine zinaumba, ukisema mwisho wa fulani, bila hata wewe kumaanisha ni mwisho kwa kutoweka, kwenye heading ulisema

"ben-saanane-mwisho-wake-umefika-rasmi",
Wewe bila kujua kuwa kauli hii ina powers, baada ya kutolewa bila kuwekewa any caveat ya mwisho wa nini, then powers zimeanza ku act kuutengeneza mwisho wa Ben.

Maadam kwenye bandiko hili, ulidhamiria mwisho wa Ben Saanane ni mwisho kwenye uchaguzi wa Bavicha, then the headline yako should have said so, " Ben Saanane Mwisho Wake Kugombea Bavicha Umefika Rasmi " ili zile powers za kauli yako iwe limited kwa Bavicha tuu, kitendo cha kutoa open ended statements bila kinga, ndicho kimepelekea kuchangia kufika mwisho kwa Ben Saanane.

Kwenye bandiko hili mimi pia nilichangia
Japo mimi sio Chadema na sina chama, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.

Thanks.
Pasco.
From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.
Happy Birthday Ben Saanane.
P
 
Wengi wenu hata hicho "Kiswahili" hamkiwezi wala hamkijui.

Naupenda ule msemo wa FaizaFoxy - "Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?"

Ni wakati sasa serikali ifanye juhudi za kukilinda Kiswahili kisipotee na kuharibiwa moja kwa moja badala ya kuking'ang'ania Kiingereza ambacho nacho kimetushinda vibaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Uzi kuhusu "Ikulu ni mali ya waislamu" FaizaFoxy ndio mwanzilishi wa hio mada, sasa ukiona anavyochapia, utaelewa kwanini mganga hajingangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaaaaa futuhi land raha sanaa,
mwanafunzi chenga, mzazi dish limeyumba, mwl nae network error, mkufunzi network loading, hapo lazima access iwe denied.
Hizo ngwengwe hapo juu hata oxford hawaoni ndanii,
yaani hapa n pg ya pili ila bd hatujaanza kujadili mada ni mwendo wa correction tuu,
Na kifutio badala ya kufuta kinazidi kuweka weusi/uchafu.
 
Back
Top Bottom