Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
hahaaaaa futuhi land raha sanaa,
mwanafunzi chenga, mzazi dish limeyumba, mwl nae network error. Hizo ngwengwe hapo juu hata oxford hawaoni ndanii.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaaa futuhi land raha sanaa,
mwanafunzi chenga, mzazi dish limeyumba, mwl nae network error. Hizo ngwengwe hapo juu hata oxford hawaoni ndanii.
English sio lugha yetu boy lakini hata kwenye kiswahili chetu watu huwa wanakosea sana tupersonel=personal. Ni vyema ungeandika kwa Kiswahili.
Silence is golden Dude,personel=personal. Ni vyema ungeandika kwa Kiswahili.
haswaaa, hii inatakiwa itumike kwenye mtongozo,Hii lugha haina mvuto kwenye baadhi ya habari
Kwanza yeye ndio aliyekosea mleta uzi yupo sawaEnglish sio lugha yetu boy lakini hata kwenye kiswahili chetu watu huwa wanakosea sana tu
Huu ni ulimbukeni kwa wenye kujielewa hawawezi kukosoa vitu kama hv
Kama wewe ni mwalimu wa English
Kasahihishe mitihani hukoo ndio uchambue makosa ya spellings
Fvck
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mtongozo inanoga hlf flow inakuja bila kipingamizi. Walokole wanaoomba kwa kupiga kelele ni masikini fanya utafiti mkuu.haswaaa, hii inatakiwa itumike kwenye mtongozo,
hiv wale walokole wanao ombaga sana kwa makelele nako wawaza kutumia ngeli kwelii! Maana kwa speed ile waweza utapike utumboo
Tumainiel has a story to tell and he is trying hard to provoke fellow citizens concerning Ben disappearance for unknown reasonsIt has been so long since à well known personel secretary of Mh Mbowe went missing .
The where about of the missing went viral to international levels unfortunately the authorities in Tanzania decline the allégations that it was involved in this saga.
Unexpectedly un unknown person at jamiiforum whom before Ben saa nane went missing he spit threatening words yesterday he/she posted à controversial message seems to worn the public on un unjust regime .
The man use the Id of Tumainiel provoked anger and havock to many jamiiforum users as they held him accountable for the missing of Mr saa nane !
Let us hope this Will mark à Journey towards the unfold of this missery befallen Mr Ben Saa Nane.
God bless democracy
God bless jamiiforum
God bless Tanzania
Wengi wenu hata hicho "Kiswahili" hamkiwezi wala hamkijui.English sio lugha yetu boy lakini hata kwenye kiswahili chetu watu huwa wanakosea sana tu
Huu ni ulimbukeni kwa wenye kujielewa hawawezi kukosoa vitu kama hv
Kama wewe ni mwalimu wa English
Kasahihishe mitihani hukoo ndio uchambue makosa ya spellings
Fvck
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuh naona leo muathirika umejitutumua kucomment sired ya Kizungu,Na umepambana sio mchezo mpaka umekapata hako ka error.personel=personal. Ni vyema ungeandika kwa Kiswahili.
Hata wa kiswahili hajawahi kuanzisha , anadandia dandia tuwewe unaweza anzisha uzi wa kuzungu.!!!??.. Nyamafu.
Lofa tu wewe. Hunisumbui.wewe unaweza anzisha uzi wa kuzungu.!!!??.. Nyamafu.
TUWEKEE LINK YA HUO UZI WA TUMAINIEL PLEASE
Mpuuzi sana wewe.Duuuuh naona leo muathirika umejitutumua kucomment sired ya Kizungu,Na umepambana sio mchezo mpaka umekapata hako ka error.
"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
You are feebleminded. That's all I can say.Silence is golden Dude,
He' s correct and your wrong,
Personel give us the sentence with the correct gramma.