Ben Saanane sasa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Ila umetumiwa na Mwigulu, na ushahidi upo hapa

Halafu eti unajiona ni muadilifu.

You must have very very serious problems. Unaonekana unaweza kuua wakati wowote. You are so dangerous!

Kosa la huyu jamaaa n kumrekodi gaidi la kihaya au?cjakuelewa hapa
 
Last edited by a moderator:
Naona unajipendekeza kwa unaotumikia maslahi yao!

Naona hapa jukwaani ndio wanaofurahia posts zako, na kuzidi kukutumia waziwazi.

Ila nao wangekuwa na akili wangekushtukia kwa kuwa kuna wengi walikuwa hawaamini dhana ya usaliti. Wewe kwa uliyoyafanya kwa ushahidi huu

Na unavyozidi kudhihirisha humu jukwaani kushibana na wapiga propaganda wa CCM, unadhihirisha kuwa ni kweli kuna usaliti, na wewe ni mmojawapo, na uaonesha hata connection yako na masalia wengine.

- Duh leo imekula kwa boss wenu wa kusimamia kutukana Viongozi wa CCM mitandaoni, wanaomtumia wamempiga chini ina maana hawakuhitaji ingia CCM tu yaishe maana huko itakuwa maumivu tu mpaka mwisho wa Dunia!!

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa hata cyber bullying haimnyimi usingizi. Ana magamba magumu sana

atakuwa mchawi si bure,na hivi alifuata mazindiko malawi,Tz yote alikosa sijui,mbna mwenzake anachale hadi hadi uson? Zana za kilimo
 
- Wala hainitishi maana nimekua nikiona baba yangu anatukanwa kwenye siasa ndio maana kwangu ukitukana unapoteza muda bure ila nitakujibu tu mpaka mwisho wa Dunia, ninaipigania Anti Cyber Bullying kuwasaidia wanyonge kama Marehemu Betty ila mimi kwangu unapoteza muda bure mimi nina Degree 3 wewe huna sasa utanitisha na nini

- Niambie una Degree 4 ndio nitaogopa U know hahahahahahaha leo dogo kala mueleka I am happy sana U know

Le Mutuz

hahahaha..umempa za uso..aje hapa aseme ana degree ngapi
 
- Duh leo imekula kwa boss wenu wa kusimamia kutukana Viongozi wa CCM mitandaoni, wanaomtumia wamempiga chini ina maana hawakuhitaji ingia CCM tu yaishe maana huko itakuwa maumivu tu mpaka mwisho wa Dunia!!

Le Mutuz
Endeleeni kuitumia condom Joseph Ludovick mpaka mfikie hatua ya kuitupa
 
Last edited by a moderator:
Joseph Ludovick
Kusema kweli hata mimi nimeshangazwa sana Ben kupigwa chini kote kote, japo nilikuwa na hisia hizo lakini sikutegemea kabisa kama itakuwa hivyo. Na wewe umegombea nafasi gani au mshabiki tu..
 
Mkandara hivi hii haiwezi kuwa sababu??

Bwana Ben, salaam.
umesoma vizuri nilichoandika? mimi sijakupigia kampeni na kamwe siwezi kukupigia kampeni. ungekuwa makini kama unavyosemwa hapa ungeona kuwa post yangu ni irony.
kisha ben unanirukia eti mimi sina uadilifu. bwana ben, mimi sijawahi kuwa sehemu ya masalia wala pindua mbowe. sijawahi kuendesha akaunti ya kificho humu kama wewe na kutukana na kusingizia chama kama tuntemeke.
aidha,sijawahi kumtukana kiongozi wa chama hadharani kama ulivyofanya kwa naibu katibu mkuu. bwana ben,mimi sijawahi kupewa onyo na chama kama wewe na kuvuliwa uongozi. hakika mimi sijawahi kukilalamia chama kitoto kama ulivyofanya juzi kanuni za chama zilipokuengua. ungekuwa na sense ungejua tu kuwa machoni mwa chama,wewe ni msaliti hatari usiyeweza kuaminika. chama gani kikupe ujumbe wa kamati kuu? labda CHAPUTO (alikisemaga masanja mkandamizaji)
 
hakuna kijana anayejitambua yupo ccm hawa vichaa wa ccm wanaopiga huko humu JF
 
Mkandara hivi hii haiwezi kuwa sababu??
Yawezekana lakini mbona alikuwa na washabiki wengi sana nadhani kuliko kila mjumbe alopita. Kama jina lake linge enguliwa mapema ningeelewa, lakini jina lipo ktk list bado hakupita! Ama kweli watu wanafiki sana maana hata sielewi walikuwa wakimpa moyo wa nini?
 
- Wala hainitishi maana nimekua nikiona baba yangu anatukanwa kwenye siasa ndio maana kwangu ukitukana unapoteza muda bure ila nitakujibu tu mpaka mwisho wa Dunia, ninaipigania Anti Cyber Bullying kuwasaidia wanyonge kama Marehemu Betty ila mimi kwangu unapoteza muda bure mimi nina Degree 3 wewe huna sasa utanitisha na nini

- Niambie una Degree 4 ndio nitaogopa U know hahahahahahaha leo dogo kala mueleka I am happy sana U know

Le Mutuz

Degree 3 za nini sasa? alafu unaenda kutubu kwa Davis Mosha.
 
Bwana Ben, salaam.
umesoma vizuri nilichoandika? mimi sijakupigia kampeni na kamwe siwezi kukupigia kampeni. ungekuwa makini kama unavyosemwa hapa ungeona kuwa post yangu ni irony.
kisha ben unanirukia eti mimi sina uadilifu. bwana ben, mimi sijawahi kuwa sehemu ya masalia wala pindua mbowe. sijawahi kuendesha akaunti ya kificho humu kama wewe na kutukana na kusingizia chama kama tuntemeke.
aidha,sijawahi kumtukana kiongozi wa chama hadharani kama ulivyofanya kwa naibu katibu mkuu. bwana ben,mimi sijawahi kupewa onyo na chama kama wewe na kuvuliwa uongozi. hakika mimi sijawahi kukilalamia chama kitoto kama ulivyofanya juzi kanuni za chama zilipokuengua. ungekuwa na sense ungejua tu kuwa machoni mwa chama,wewe ni msaliti hatari usiyeweza kuaminika. chama gani kikupe ujumbe wa kamati kuu? labda CHAPUTO (alikisemaga masanja mkandamizaji)

Na wenye masikio wasikie, wenye macho waone, wasome na kuzingatia.

Watu wengi hapa wanaendekeza ushabiki wa kimandazi wakati huko jikoni kuna mambo mengi yanaendelea pasipo wao kujua.
Asante sana Bwana.Ludovick kwa kutujuza maana watu wengine wakiwaga hapa wanajifanya wao ni chama na chama ni wao,full kujipendekeza kwa mabwana zao kumbe ni wanafiki wakubwa.

Na hawa akina BEN ndo wamechangia sana kukidhoofisha chama kwa unafiki wao na majungu.
 
Yawezekana lakini mbona alikuwa na washabiki wengi sana nadhani kuliko kila mjumbe alopita. Kama jina lake linge enguliwa mapema ningeelewa, lakini jina lipo ktk list bado hakupita! Ama kweli watu wanafiki sana maana hata sielewi walikuwa wakimpa moyo wa nini?

- Nudugu yangu Mkandara naimekuambia mara ngapi kaka kwamba ukishatumika kwenye siasa na wakubwa you are good for nothing, wakubwa wa siasa wanamuheshimu mtu mjeuri mwenye msimamo tu sio anayekubali kutumika wanajua akitokea pesa kubwa kuliko zao atakutumia against wao ndio maana wanakutema kiaina sasa dogo wamemtema kama ilivyo kawaida ndivyo inavyokuwa soma historia ya wote waliowahi kutumika,

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom