Degree 3 za nini sasa? alafu unaenda kutubu kwa Davis Mosha.
Aisee inasikitisha kweli yani na degree 3 zote alizonazo K.J(ҜЦБЩД JIИGД😉 Le Big Choo anaenda kulamba miguu ya Davis Mosha ambaye hana hata degree(au kama anayo itakuwa ya type za kina Dr. Lyatonga Mrema) halafu anakuja kujisifia na degree za kuvua samaki daaa kweli ЦSHДMБД MZIGФ!
~Hakuna cha bizness patner wala nini ameenda kulamba miguu ya Davis mosha we mwanahisa gani una share ya 0.19?
delina general enteprises wenye hisa 59.8%
davis mosha mwenye hisa 39.9%
william john malecela(le mutuz) hisa 0.19%
~Kuanzisha Radio na TV mtaji wake ni kama minimum 80m kwahiyo Le mutuz kwa 0.19% ya hisa amechangia Laki moja na 60 hahahahaaaa u know!
Nadhani anagombea nafasi ya Mpika Majungu Mkuu wa Chama
- Kwani una degreee 4 kaka maana kama huna inakuwa noma kubishana na mimi Le big Show U know big education
Le Big Show
- Kwani una degreee 4 kaka maana kama huna inakuwa noma kubishana na mimi Le big Show U know big education
Le Big Show
Willy,
huyu ben, alidanganywa na mtu anayemfanyia kazi pale makuu. kazi hizi afanyazo ni za mtu wala siyo za chama,na mtu huyo hana influence kwenye party circles.
alipowekewa zengwe,aliandika barua kulalamika,haikusaidia.akaanda press comference pale travertine hotel,ika abort, akaandaa maandamano,yaka abort, mwisho akataka kuweka court injunction kusimamisha uchaguzi wa bavicha,ikazimwa.
mashangilio anayoyapata hapa jf kwa wapambe anadhani na chama kinamuona hivo. ameula wa chuya.
Aisee inasikitisha kweli yani na degree 3 zote alizonazo K.J(ҜЦБЩД JIИGД😉 Le Big Choo anaenda kulamba miguu ya Davis Mosha ambaye hana hata degree(au kama anayo itakuwa ya type za kina Dr. Lyatonga Mrema) halafu anakuja kujisifia na degree za kuvua samaki daaa kweli ЦSHДMБД MZIGФ!
~Hakuna cha bizness patner wala nini ameenda kulamba miguu ya Davis mosha we mwanahisa gani una share ya 0.19?
delina general enteprises wenye hisa 59.8%
davis mosha mwenye hisa 39.9%
william john malecela(le mutuz) hisa 0.19%
~Kuanzisha Radio na TV mtaji wake ni kama minimum 80m kwahiyo Le mutuz kwa 0.19% ya hisa amechangia Laki moja na 60 hahahahaaaa u know!
du kelele zote kumbe una hisa 0.19?
Yawezekana lakini mbona alikuwa na washabiki wengi sana nadhani kuliko kila mjumbe alopita. Kama jina lake linge enguliwa mapema ningeelewa, lakini jina lipo ktk list bado hakupita! Ama kweli watu wanafiki sana maana hata sielewi walikuwa wakimpa moyo wa nini?
Hee kumbe wako wengi!Mkuu wewe ni mwadilifu?
Pole sana tena sana!
Hivi unajua chadema hadi Leo hawajakusamehe na ndio maana wana kutupilia mbali kila sehemu?
Ndani ya chadema wewe bado ni msaliti huaminiki kabisa!
- Mimi ni:-
1. MJUMBE MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA UNAOCHAGUA RAIS
2. MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI/CCM TAIFA
3. MJUMBE BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA.
Sasa nakuomba uchague cheo kimoja umpe ndugu yako kama inawezekana sio kutumika tumika bila manufaa ok!! ha! ha1 ha1
Le Mutuz
Du... sasa mtu kakaa majuu miaka 30 na hakufanya kitu cha kuonekana unafikiria ataweza sasa! Naongelea kipindi hicho yeye yuko majuu wakati Bongo hata simple calculator watu tulikuwa tunaiona kama chombo cha kurushia Apollo kwenda mwezini. TV ndio usisema kabisa... kombe la dunia tunapigania kuangalia mikanda ya miaka saba iliyopita. Kama ni fursa ya kuleta vitu kuuza angeitumia saa hizi angekuwa anashindana na IPTL...
- hahahahahahahahah leo mnalo hapa kumbe dogo kapigwa chini kila nafasi chezeya Chadema wewe!! Chama cha wenyewe U know hahahaha wewe unafikiri mimi natishika matusi ya kizamani hahahahahahaha
Le Big Show
- Davis ni my business patner kwenye African Swahili Media Radio & TV, leo umepigwa chini wamekutumia sasa wamekutema kama wengine pole sana U know
Le Mutuz