Imenikumbusha miaka mitano nyuma baada ya Slaa kusoma ile orodha ya mafisadi. Walijitokeza kila mmoja akitoa muda wa kuombwa radhi na kulipwa fidia, vinginevyo wampeleke Dr mahakamani. hadi leo hakuna aliyekwenda mahakamani. Ni mjanja mmoja tu, nimrod mkono aliyesema hawezi kwenda mahakamani kwa kuwa Dr hana pesa ya kumlipa fidia. wacha wazidi kutokeza tuwafahamu vizuri.Nashawishika kuamini kuwa kilichosemwa na Ben Saa8 kina ukweli kutokana na watuhumiwa wote kukimbilia kuzima hoja. Ukianza na Zito, Mchange, Mwampamba, Juliana na wengine. Hii haraka imetoka wapi? Je ingekuwa hakuna ukweli basi angetokea mmoja tu kujibu ama wangempuuza, lakini sasa kila mmoja anakuja na mashambulizi yake na cha ajabu maelezo yao yanathibitisha maelezo ya Ben Saa8 badala ya kukanusha.
Hawa watu wanapojibu wana wa-attack moja kwa moja viongozi wakuu wa CHADEMA. Hii linadhihirisha ajenda yao na chuki waliyonayo kwa uongozi na hasa Dr Slaa.
Wanaenda moja kwa moja kumtetea Zito, ambaye ndiye mhimili wa huu uasi.
Wanatoa maelezo ambayo hayajibu hoja badala yake wanaleta sintofahamu nyingine na mkanganyiko.
Viongozi hawa wa BAVICHA pamoja na ZITO wamekosa sifa, wanatakiwa kufukuzwa uongozi, na ikibidi uanachama.
Hawapo kwa ajili ya kujenga chama badala yake kubomoa.
Zaidi sana nimpongeze Ben Saa8 kwa kulianzisha hili kwani MaYUDA kwenye Chama hawatakiwi.
nimeshindwa ku komenti chochote mpaka sasa.
Ni kweli kwa Ushirikina wa Zitto hata mimi nimechemsha, ana uwezo wa kuloga mpaka panya!! huyu jamaa ni kiboko.Zitto' hamto muweza na fitina zenu, kaeni mkijua, mbinu walizo tumia kuwa ua wanasiasa waliopita ndizo hizi mnazitumia kwa ZITTO. Hapo mmechemka ile mbaya na tutaona mwisho wenu
nimeipenda kazi ya saa8 kujipenyeza kiinteligensia kwenye
kundi la zitto na kuwaumbua wasaliti.
nashauri kijana tumpandishe cheo. je baada ya kuimaliza hii kazi vizuri, tumpe kazi gani nyingine?
nimeipenda kazi ya saa8 kujipenyeza kiinteligensia kwenye
kundi la zitto na kuwaumbua wasaliti.
nashauri kijana tumpandishe cheo. je baada ya kuimaliza hii kazi vizuri, tumpe kazi gani nyingine?
Zitto' hamto muweza na fitina zenu, kaeni mkijua, mbinu walizo tumia kuwa ua wanasiasa waliopita ndizo hizi mnazitumia kwa ZITTO. Hapo mmechemka ile mbaya na tutaona mwisho wenu
huyu naye ni moja ya wakongwe jf ?Ni kweli kwa Ushirikina wa Zitto hata mimi nimechemsha, ana uwezo wa kuloga mpaka panya!! huyu jamaa ni kiboko.
Zitto' hamto muweza na fitina zenu, kaeni mkijua, mbinu walizo tumia kuwa ua wanasiasa waliopita ndizo hizi mnazitumia kwa ZITTO. Hapo mmechemka ile mbaya na tutaona mwisho wenu
Apelekwe Ujerumani sasa hakawahujumu wale wazungu wanaomualikaga zitto kutoa speech za maendeleo na maoni yake.nimeipenda kazi ya saa8 kujipenyeza kiinteligensia kwenye
kundi la zitto na kuwaumbua wasaliti.
nashauri kijana tumpandishe cheo. je baada ya kuimaliza hii kazi vizuri, tumpe kazi gani nyingine?
Ni kweli kwa Ushirikina wa Zitto hata mimi nimechemsha, ana uwezo wa kuloga mpaka panya!! huyu jamaa ni kiboko.
saa8 mwambie dr slaa aache kutuma SMS za vitisho. hii kazi akuachie wewe yeye ni rais.
ujanja wa zitto wote chini shauri ya saa8 kavamia kikosi chake na kukivurumisha.
tumpe saa8 kazi ya kumshughulikia nape. wamesoma wote india
hata panya hatapona. uwiiiiiiii uchawi
ben njoo njoo huku uscan hii kirusi
Ni kweli kwa Ushirikina wa Zitto hata mimi nimechemsha, ana uwezo wa kuloga mpaka panya!! huyu jamaa ni kiboko.