Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,337
Reaction score
968
Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.

Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara huko GOBA jana Saanane alisema anamfahamu vema Nape kwani walisoma pamoja huko nchini India.Saanane alieleza kwa kirefu jinsi Nape alivyotumia njia zisizo halali kupata elimu yake.Saanane alimtaka Nape afunge mdomo kwani kamwe hawezi kujilinganisha na John Mnyika kwa sababu ni sawa na kulinganisha na mbingu na ardhi.

Akishangiliwa na umati mkubwa wa watu Saanane pia aliwatahadharisha wananchi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ambao walifukuzwa na Chadema na sasa wanatembezwa majukwaa mbalimbali na CCM kwa lengo la kuwatukana matusi viongozi wa Chadema.

Ben Saanane kwa siku za karibuni amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Chadema tangu pale alipofichua njama za usaliti ndani ya Baraza la vijana la Chadema-BAVICHA na hatimaye wasaliti hao walioongozwa na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakafukuzwa uanachama.
 
Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).
 
mods unganisha huu uzi na ule wa mkutano wa goba coz ni mwendelezo.ni ushauri tu.
 
Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.
 
mia jamaa ni mnafiki sana chadema yabidi kuwa makini na huyu mole ben saa8
 
Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).[/

Kuna wahindi walikuwa wanamclouds FM
 
Wale wale ambao wanapiga kelele kwamba Nape amefilisika kisiasa kwa kuongelea watu na wayapuuze yale anayoyaongea, hao hao wanakuja kuanza kuyachagiza katika jukwaa lile lile. kama niya kupuuzwa, kuna maana gani basi kutumia jukwaa kuyarudia tena na tena.

Kwa maana nyingine, Huku ni kucheza muziki unaopigwa na Nape & co-

Siasa bana.
 
Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.

MwanaCCM wewe maswala ya ndani ya Chadema umeyajuaje?
 
mbona sipati maana ya kulipua au nyie raia wenzangu hii imekaaje.kusema nape asijilinganishe na mnyika ni kielimu ni kulipua mbona habari hiyo sio mpya
 
Wale wale ambao wanapiga kelele kwamba Nape amefilisika kisiasa kwa kuongelea watu na wayapuuze yale anayoyaongea, hao hao wanakuja kuanza kuyachagiza katika jukwaa lile lile. kama niya kupuuzwa, kuna maana gani basi kutumia jukwaa kuyarudia tena na tena.

Kwa maana nyingine, Huku ni kucheza muziki unaopigwa na Nape & co-

Siasa bana.

Leo mtahangaika sana lakini Chadema imewaahika pabaya.
 
Thead ya maji na elimu ziko wapi? au AOB ndio ina worth kufunguliwa thread?

shusha pumzi mkuu......jana kuliwa na uzi wa mkutano wa mnyika na wananchi wa kata ya goba lengo likiwa kuzungumzia mustakabali wa maji,elimu,miundombinu na mengineyo.mwenye mkutano huo alikuwa kamanda mnyika.ben,dogo wake bashe na makamanda wengine walialikwa.kuna mdau alianzisha uzi wa huo mkutano na alikuwa anatoa updates ndiyo maana nikashauri huu uzi uunganishwe na ule wa jana coz ulizungumzia hili ila siyo kwa kirefu kama ulivyo huu uzi
 
Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).

Mmeyataka wenyewe kwahiyo kubalini matokeo wala msijaribu hata mara moja kukimbia hoja mliyoianzisha wenyewe.

Wahenga wanasema achekaye mwishoni ndiye hucheka zaidi. Mwambieni ndugu yenu Nahum Nnauye aache kuulizia elimu za watu wenye rekodi zilizotukuka wakati yeye amefanya kuunga unga na partex!
 
Back
Top Bottom