Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,226
- 79,516
Ukitoa povu naku-block!
Ukitoa povu naku-block!
Wateweza wapi!! Huwaga wanachezea vichapo kutoka kwa wake zao ndiyo wataweza kuwakaza vizuri! Ukiwaona humu wana jidai unaeza hisi ni vidume kumbe hamna kitu. Tutawachapia dada zao mpaka watakapo MAN UP
Ukitoa povu naku-block!
Unajua tofauti kati ya Akili na Elimu mkuu???Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.
Utasikia ile chalii imechapwa na bibi leo.Wateweza wapi!! Huwaga wanachezea vichapo kutoka kwa wake zao ndiyo wataweza kuwakaza vizuri! Ukiwaona humu wana jidai unaeza hisi ni vidume kumbe hamna kitu. Tutawachapia dada zao mpaka watakapo MAN UP
Sent using Jamii Forums mobile app
Ben pol bana has been sponsored by madam keroche to travel all over, unafikiri he is using his money, you should check the wealth behind arnelisas family, hapa ndio tunasemanga sponsoree manenos
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.
Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.
Kwa Vijana kama Mimi kuna uwezekano mkubwa wa Kuwa na demu wa Kikenya, sababu Mademu wa Kikenya wengi ni wa Kujimix na wanapenda sana wabongo, nikimtuliza na kuzungumza nae kiswahili sanifu basi lazima nibebe, but when it comes to Wife narudi bongo aisee, yaani Mademu wa Kenya 90% wanabugia pombe sana, ni Walevi, very contrary kwa Mademu wa Bongo ambao most of them are moral women, Perfect Mothers, binafsi siwezi oa mwanamke mlevi,
Nimedate demu wa Kimeru kwa Muda sasa hadi ameolewa kiukweli nilikuwa naenjoy sana uchangamfu wake ila ndio tungi sana mpaka unambeba.
Unajua tofauti kati ya Akili na Elimu mkuu???
Unafikiri kuongea kingereza ndio kuelimika na kustaarabika?Nini kinachokufanya umuone Vanessa ako sawa upstairs???Pole yako ni mpuuzi tu kama wewe.
Ndo nishasema.Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafikiri wewe ndo utujibu, Ni kwa nini madem wenu wanapenda sana wasanii wa bongo?Hivi nini kinasababisha wasanii wenu wa kutajika (top cream) wote wamewakimbia mademu wenu, hata AY amefuata Rwanda.....
Kiba na Mondi ambao ndio kila kitu Bongo kama ilivyo Simba/Yanga, wote wamefuata Kenya. Jameni hamna haja ya kuwakimbia mademu wenu, wapeni elimu watapendeza pia kimataifa, najua mnaogopa aibu ya akina Mobeto kwamba demu anapendeza lakini ukosefu wa elimu na exposure anafanya vitu vya kijinga kama kwenda kwa mganga.
Au muwalete huku wapate elimu ya Kikenya, kwa mfano Vanessa Mdee ambaye amesomea Kenya, yaani yupo sawa upstairs hata ukitazama anapohojiwa kimataifa.
Mimi nafikiri wewe ndo utujibu, Ni kwa nini madem wenu wanapenda sana wasanii wa bongo?
Kwa mkenya, mnyarwanda, mrundi, mkenya au wamalawi kuolewa na mtanzania, ni kama kupata ajira ya kudumu yenye kipato kizuri.Mimi nafikiri wewe ndo utujibu, Ni kwa nini madem wenu wanapenda sana wasanii wa bongo?
Kwa taarifa yako ndo tunaanza kuwadominate hivyo, maana mke siku zote yuko chini ya mume, na kenya imetoa wanawake wengi kwa wasanii wa kibongo so mnaenda kuwa chini yetuWasanii hupendwa na mademu wote kote duniani, huyo Ali Kiba hata akienda Msumbiji, Rwanda, Zambia, Uganda na mataifa yote ya ukanda huu atapendwa tu, lakini sasa hili la top cream ya wasanii wenu wote kufuata Kenya ndio haileweki, na hata ambao hawaji Kenya wanafuata nchi zingine kama Rwanda au Uganda na kuwaacha akina Wema Sepetu wakiliwa na wanasiasa.